hahaaaa na wewe ume mbadilikia !? ...halafu sasa anaidhalilisha avatar anayoitumia...."" man money hanaga tabia za kikuda ...alipaswa atumie avatar ya SouDy brownKweli kabisa Mkuu!
Huwezi kuwa Mwanaume uliyekamilika eti linafuatilia mapenzi ya watu!
Aibu sana
HAHA uyu ni wakuungwa group la Songea girls 2017hahaaaa na wewe umembafikikia ...halafu sasa anaidhalilisha avatar anayoitumia...."" man money hanaga tabia za kikuda ...alipaswa atumie avatar ya SouDy brown
ha haha usikute yupo huko muda mrefu anatumia jina LA kike ....unafnya mchezo na hance " mnyime kila kitu lakini sio umbea ""HAHA uyu ni wakuungwa group la Songea girls 2017
Warumi ni expatriate katika umbeamwenzake huyu hapa....huyu ndiye alikuwaga balaa sasa....@Warumi
Hata hapa utatoka bila!!!!Nimewafuatilia sana yani ,nimepeleleza weeeee lakini wapi nimetoka bila bila.
nikweli mkuu "" halafu sasa ukizingua anakuchamba huyooooo balaaaaa.....kubwa zaidi yupo vizuri upstairs ""Warumi ni expatriate katika umbea
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]HAHA uyu ni wakuungwa group la Songea girls 2017
Utan wa ngumi huuHAHA uyu ni wakuungwa group la Songea girls 2017
Mapenzi na ngono ni vitu viwili tofauti. Wale hawakuwa wapenzi ni wana ngono
Kwanini unafuatilia na kupeleleza?Nimewafuatilia sana yani ,nimepeleleza weeeee lakini wapi nimetoka bila bila.
si wameshaoana ao unaongelea maza yako?Mapenzi na ngono ni vitu viwili tofauti. Wale hawakuwa wapenzi ni wana ngono
Jamaa ana upungufu wa akili, muda anaoupoteza kwa upelelezi, ataukumbuka akiwa kazeeka Na mifukoni hana kituKwanini unafuatilia na kupeleleza?
Jamaa ana upungufu wa akili, muda anaoupoteza kwa upelelezi, ataukumbuka akiwa kazeeka Na mifukoni hana kituKwanini unafuatilia na kupeleleza?
Pengine upelelezi wake huo huo ndio unaomwingizia kipato. Labda ndiye Soud Brown au ni mwandishi wa magazeti ya udakuJamaa ana upungufu wa akili, muda anaoupoteza kwa upelelezi, ataukumbuka akiwa kazeeka Na mifukoni hana kitu