Penzi la Mama Diamond (Bi Sandra) na Mr. Shamte limefikia wapi?

Penzi la Mama Diamond (Bi Sandra) na Mr. Shamte limefikia wapi?

Kweli kabisa Mkuu!
Huwezi kuwa Mwanaume uliyekamilika eti linafuatilia mapenzi ya watu!
Aibu sana
hahaaaa na wewe ume mbadilikia !? ...halafu sasa anaidhalilisha avatar anayoitumia...."" man money hanaga tabia za kikuda ...alipaswa atumie avatar ya SouDy brown
 
HAHA uyu ni wakuungwa group la Songea girls 2017
ha haha usikute yupo huko muda mrefu anatumia jina LA kike ....unafnya mchezo na hance " mnyime kila kitu lakini sio umbea ""
 
mwenzake huyu hapa....huyu ndiye alikuwaga balaa sasa....@Warumi
 
Kwanini unafuatilia na kupeleleza?
Jamaa ana upungufu wa akili, muda anaoupoteza kwa upelelezi, ataukumbuka akiwa kazeeka Na mifukoni hana kitu
 
Pengine upelelezi wake huo huo ndio unaomwingizia kipato. Labda ndiye Soud Brown au ni mwandishi wa magazeti ya udaku
 
Una kazi ya kufuatilia mahusiano ya wengine..hongera
 
Back
Top Bottom