Penzi la Mbosnia likauwa………..!

Penzi la Mbosnia likauwa………..!

Mtambuzi hongera sana kwa story nzuri,
je ni ya ukweli au umetunga tu,
kweli unatisha kama nini, hongera sana,

Mimi ambapo sikuupenda ni hapa tu

"Hata hivyo baada ya kuzaa, Carol alianza kunenepa ghafla na kuwa na mwili wa tipwa tipwa kiasi cha kufikia uzito wa kilo 95. Hapo ndipo ladha ya upendo wa awali ilipotea na tendo la ndoa kuwa la baridi"

Hapa ni kama umetuchana sana sisi wanawake mkuu.

Dada mkubwa, hii sijatunga mimi, bali nimeandika kutokana na taarifa za kesi hiyo. inawezekana nilitafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili moja kwa moja bila kuweka tafsida, lakini nimeliona hilo kosa nitajaribu kutafuta maneno yatakayowafurahisha.
 
Kuna wakati nilihisi hitimisho litakua Tucker alimuua Carol kwa kutumia utaalam wake......
Tucker alikuwa ni mtalaamu wa silaha za Nyukilia, Baiolojia na silaha za Kemikali
 
Mbona hadith mnasoma za magazet?sio ndefu hat kidogo. Wnaume tuache vibustni.
 
Back
Top Bottom