Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu.

Nilitafuta Lodge nzuri mitaa ya Makole nikafanikiwa kupata, nikajifungia ndani kwa muda nikaoga, nikaangalia TV kidogo, saa 3 usiku nikatoka nikaenda reception nikakuta mrembo mmoja mwenye shape matata sana amekaa nikampa funguo nikamwambia natoka kidogo akaniuliza unaenda kutafuta nini nikamwambia naenda kula, akanielekeza sehemu yenye misosi mizuri nikaenda.

Nilivyomaliza kula nilianza kuhisi hamu ya kufanya mapenzi😂 ila sikujali sana nikarudi zangu nikamkuta mtoto anachezea simu nikaomba funguo nikarudi kwenye chumba changu, hamu ya tendo ikazidi nikasema nisije jikuta narudi CHAPUTA maana niliamua kujitoa tangu juzi nilivyowaletea Uzi wa maamuzi hayo na sijapiga tena.

Nilichofanya nikarudi reception saa 5 usiku nikakuta yule dada anajiandaa kutoka ili akalale kwenye chumba chake kilicho karibu na reception, nikamwangalia usoni nika smile nayeye akasmile kidogo, nikamwambia nina shida akaniuliza shida gani, nikamwangalia usoni nikacheka nayeye akaanza kucheka.😂

Nikamwambia muda huu naweza pata wapi mrembo kama wewe maana baada ya kukuona nimejikuta napata hamu ya kufanya mapenzi mpaka nimeshindwa kulala. Akaniambia pole Kuna sehemu naweza kukuelekeza ni mbali kidogo na hapa nikamwambia mi sitaki kwenda huko nataka nibaki hapa hapa naomba unisaidie kwa hilo😂

Akacheka akasema we kaka unavituko, nikamwambia sio mimi ni uume wangu😂 akaniambia sahivi Bado wateja wanaweza kuja nirudi chumbani nisubiri kama nusu saaa atakuja.

Nikarudi baada ya dakika ka 15 akagonga mlango akaingia akiwa na kitabu cha kuandikisha wageni na peni, yaani kwakifupi ofisi ikahamia chumbani kwangu.

Akauweka vitu mezani akakakaa kwenye kochi, nikamfuata ebwanaaa eee, kumbe hajavaa kitu zaidi ya kimini chake kilicho taiti vizuri, tukaanza kuchezeana hapo mara akafungua zipu akaanza kunyonya dushe ikabidi tuhamie kitandani.

Kwakweli tuligegedana sana, niligundua hata yeye alikuwa na nyéggè kilicho nishangaza zaidi baada ya kumalizia kwenye saa 7 hivi akaomba aondoke akalale kidogo ili wageni wanao ondoka alfajiri wamkute kwenye chumba chake, nikampa kiasi fulani cha fedha akasema utanipa asubuhi.

Asubuhi ikafika nikaenda kuaga mapema akaniambia kwa sauti ya chini rudi chumbani nakuja nikarudi akaja na simu akaomba namba yangu nikampa hela yake akagoma kabisa kupokea akasema haya ni maisha tu mimi "sijiuzi" ila ukija tena Dom uwe unalala hapa hata nisipo kuwepo, nakutakia safari njema usiwaze kabisa kuhusu pesa yako mimi sio kahaba, sijiuzi.

Nikajaribu kumshawishi kuwa ni zawadi akasema zawadi ulinipa jana usiku, zawadi nyingine utakayonipa ni kufikia kwenye lodge yetu. Nikamshukuru nikaondoka.

Nilivyofika tu kabla ya mambo yote nimekuja kwenye madhabahu ya JamiiForums kutoa ushuhuda huu maana kwangu imekuwa surprize kubwa sana.... Ahsanteni sana Dodoma.
 
Back
Top Bottom