Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

Huu uzi naomba moderators waupeleke kwny Kula Tunda kimasihara ili kupunguza wingi wa uzi zinazofanana,ila hongera Mkuu share na sisi ilo chimbo tukaishi nalo
 
"Sophi wangu mi nilizaliwa Tanzania kanda yakati, ah
Makao makuu twende pamoja tukauone uzuri wa nchi
Ndugu zangu wa Makole wakarimu wapole
Wanataka wakuone kabla kurudi Dar
Wakupatie karanga zabibu na uhemba
Lazima uwakumbuke ukifika Dar"
Sophia by Ben Paul
 
Back
Top Bottom