Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

Usije ukamgonga demu wangu🙄
 
ukim
Mbona amesha sema alimpa hela,demu aka goma? Mpaka demu mwenyewe kusema yeye siyo kahaba hajiuzi

Nakazia uzi upelekwe kwenye uzi wa masihara.

View attachment 2281361
Soma vizuri mtoa mada ijapo alutoa hela anachomiss ni uburee yaani kapewa bila jasho,,,,,, mjitahidi kujilinda,mtakufa wote tubaki jinsia,moja ya kike duniani mkuu.
 
ukim

soma vizuri mtoa mada ijapo alutoa hela anachomiss ni uburee yaani kapewa bila jasho,,,,,, mjitahidi kujilinda,mtakufa wote tubaki jinsia,moja ya kike duniani mkuu.
Sio ubure tuu, ilikuwa burudani tamu sana, kitu mnato, safi sana na tunaendelea kuwasiliana na bebi wangu.
 
ukim

soma vizuri mtoa mada ijapo alutoa hela anachomiss ni uburee yaani kapewa bila jasho,,,,,, mjitahidi kujilinda,mtakufa wote tubaki jinsia,moja ya kike duniani mkuu.
Ubure kiaje? Wakati mtoa mada anadai ame mbembeleza demu achukue hela,demu akasema yeye siyo kahaba.

Ubure uko wapi hapo.
 
Wakarimu wapole

Lazima uwakumbuke ukifika Dar
 
Tupe location, upate mme mwenza humu JF
 
ukim

soma vizuri mtoa mada ijapo alutoa hela anachomiss ni uburee yaani kapewa bila jasho,,,,,, mjitahidi kujilinda,mtakufa wote tubaki jinsia,moja ya kike duniani mkuu.
Demu alipewa hela akagoma kupokea.Akidai yeye siyo kahaba na hajiuzi.Alimbless tu jamaa. Hiyo haina tofauti na kimasihara.

Kwa hiyo wewe baada ya sex una dai hela??? Huwa unadai ngapi[emoji16]
 
Demu alipewa hela akagoma kupokea.Akidai yeye siyo kahaba na hajiuzi.Alimbless tu jamaa. Hiyo haina tofauti na kimasihara.

Kwa hiyo wewe baada ya sex una dai hela??? Huwa unadai ngapi[emoji16]View attachment 2281610
mbona hii mada umeikomalia hauna kazi zingine asubuhi hii?

nimetoa ushauri chini ni kwa faida yako na familia / koo yako. mkuu injoi utakavyo wapi shida.
 
Dah! Mwana umekula tundi kimasihari!
 
Hahaha madhabahu kama madhabahu. Nasi tunasemaa Ameeeeeeeeeeeniiiiii
 
Kuna mtu kama mm, hata story iwe nzuri vp sijui kuisimulia..

Ila ww unajua kutoa simulizi na watu wakafurahia..

Nimefurahi uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…