Penzi la Mu-baba wangu ni moutooooor

Penzi la Mu-baba wangu ni moutooooor

umechoka kutangatanga kwenye pm ili uuze stori zamapenzi umeona wateja hakuna umeamua kuja kutudanganya hapa?

mbona hapa namba Yako hujaweka? au niwawekee wadau?
Poyeeeeee,, tupo whatsapp tunakula gud time we endelea kupata ban
 
Nipo na Mubaba wangu

Mubaba kweli kweli

Tuko simba day hapa nimesalimu amri, kwa machine ya jana amenifunga goli kizembe sana nikamwambia sawa Mubaba wangu, kesho unanislimisha simba ila me yanga dam dam

Nasemaje
Nasemaje

Mubaba buana, ako na penzi lake classic siwezi elezea,
Ana uchokozi kidogo, ana utani kwa mbali, ana upendo mwingi alafu ana sofa lake (kitambi) hilo, akikukamatia kwa mbele tu huchomoki

ni hayo tu, nimeletwa simba day ila nawaza mechi na penzi la Mubaba wangu ni moutoooooor
Malaya kwenye 1 n 2
 
Back
Top Bottom