Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Mwenye taarifa zaid atujuze, hii couple sjui imepotelea wap, wakat fulan ilitukimbiza sana mtaani.....Ghafla bin vuu Barcka ze prince kafuta post zote instagram, Najma nae kafuta Picha zote akiwa na Baracka, mlioko mtaa wa pili tupeni ripoti kamili.....

images
 
Baraka penzi lake na Najma kuyumba limemchanganya sana mpaka muziki umemshinda, alitoka kwa Kiba kwa kiburi na kuanzisha lebo yake na Najma ..BANA MUSIC, hakuna kazi amefanya maskini.
 
Back
Top Bottom