Kwa tetesi zilizotapakaa jijini Dar kuwa mtayarishaji maarufu wa muziki Pacho Latino toka B-hits anatoka na mwanadada linah na sasa penzi lao linaelekea kuwa tamutamu na wazi kwa jamii.
Pacho producer ambae anafagilia mambo ya kifreemason kama anavyoonekana pichani akionyesha moja ya ishala ya waumini wa dini hiyo alishindwa kusema bayana kuhusiana na skendo hiyo.
Source!!Unique intertainment
hivi vijitu vinavyojipendekeza kwa ma freemason hivi njaa inawasumbua sana...
sasa kuwa na uhusiano na huyo ndege mnana sio kitu cha kujisifia sababu kila mtu aliyepita nae aikijisifia i think kutakuwa na pages 10 hapa
hawa vijana bana! Nafikiri kuna level ya umaarufu ukifikia kuna kuwa na nguvu kubwa mno za kishetani unakuwa hujielewi elewi though unadhani upo smart sababu ya mafanikio! Unabaki kusema"its my life so.....!"
Story za hawa wasanii wa bongo na mambo yao uwa yananipa kichefuchefu...on the other side huyu dada alikuwa anavaa sketi mpaka inaburuza chini na akawa hajui hata kufuta kamasi..leo anavaa kijinsi kama hicho..shit!! @#$%^&*(......