Penzi la PACHO na LINAR lafichuka rasmi

Penzi la PACHO na LINAR lafichuka rasmi

Daffi Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
3,824
Reaction score
909
[h=3]PENZI LA LINAH NA PANCHO LAFICHUKA[/h]


Kwa tetesi zilizotapakaa jijini Dar kuwa mtayarishaji maarufu wa muziki Pacho Latino toka B-hits anatoka na mwanadada linah na sasa penzi lao linaelekea kuwa tamutamu na wazi kwa jamii.
Pacho producer ambae anafagilia mambo ya kifreemason kama anavyoonekana pichani akionyesha moja ya ishala ya waumini wa dini hiyo alishindwa kusema bayana kuhusiana na skendo hiyo.
Source!!Unique intertainment




 
kwahiyo mwanangu kamwagwa?acha nimpigie simu nijue.......
 
Pacho au Pancho??? kuna Pacho mwamba tajiri na Pancho..so specify
 
hivi vijitu vinavyojipendekeza kwa ma freemason hivi njaa inawasumbua sana...
sasa kuwa na uhusiano na huyo ndege mnana sio kitu cha kujisifia sababu kila mtu aliyepita nae aikijisifia i think kutakuwa na pages 10 hapa
 
Lina umekimbia moja kwa moja kwa Amini jamani...
 
This is a free world...if none of them is married, what is the big deal/issue?
 
Kama Pancho hajaoa na LInah hajaolewa hapo hakuna tatizo wachezeane tu bado vijana
 
Duh kuna tym joh makini alikua anaipga. Cjui walíishia wap
 
hawa vijana bana! Nafikiri kuna level ya umaarufu ukifikia kuna kuwa na nguvu kubwa mno za kishetani unakuwa hujielewi elewi though unadhani upo smart sababu ya mafanikio! Unabaki kusema"its my life so.....!"
 
Aisee visanii vya siku hizi vinadinywa kama kuku.. Yani wachafu kweli kweli.
 
Lina anaendelea kuwaesabu akitoka kwa pancho makini akitoka kwa makini R***. ukiwamaliza wote mtafute Stara akupe ushauri
 
Story za hawa wasanii wa bongo na mambo yao uwa yananipa kichefuchefu...on the other side huyu dada alikuwa anavaa sketi mpaka inaburuza chini na akawa hajui hata kufuta kamasi..leo anavaa kijinsi kama hicho..shit!! @#$%^&*(......
 
Back
Top Bottom