Umeona eeh, kum-date tu kwanza ni kuchemsha, kujibizana naye ni kutokotesha kabisa.
Bora angekaa kimya kuliko kujibizana matusi makuubwa, mjinga na mwerevu wanakuwa hawatofautiani.
ha ha ha eti kibamia kazi ipo
Duh!Mapenzi ya instagram pesha tupu!
wanawake sisi baadhi yetu akili zetu sijui hatukuzaliwa nazo? ..........................
Mh................ nimekosea njia haya mapenzi ya dot com haya. Hebu mie nirudi zangu kwa kina Marijani mie
nitoe ushamba dear, huyu mdada ni nani, mana mie nikiperuzi kwenye blogs kuosha macho nakuta anasifiwaaaa sana, sijui swaga zake, sijui uzuri, lakini ukiniuliza ni nani ntakuambia ni mchaga! ni nani huyu?
hawana u dot com wowote, wazee wenzetu tu hawa wamejitoa ufahamu wakaamua kuvuana nguo hadharani.
At the end of the day its the female who looks stupid
Mie ndio namuona hapa, yuko blog gani nikamcheki?
Sijui lolote zaidi ya kumuona hapa
kha na wewe mshamba mwenzangu bwana, niliwahi kumsoma kwa mdada anaeitwa Mange, hata yeye hili bifu kaliweka pia, na ana uandishi wake ukimsoma utadhani unaona live, kachungulie.
Ngoja nije nikachungulie
Naskia huko kwa mange huwa kuna umbea moto moto wa mujini