Penzi la Prezzo na Chaggabarbie kizungumkutu

Penzi la Prezzo na Chaggabarbie kizungumkutu

Umeona eeh, kum-date tu kwanza ni kuchemsha, kujibizana naye ni kutokotesha kabisa.

Bora angekaa kimya kuliko kujibizana matusi makuubwa, mjinga na mwerevu wanakuwa hawatofautiani.

wanawake sisi baadhi yetu akili zetu sijui hatukuzaliwa nazo? nimeona sijui wapi tayari ana bwana mpya, anasema hata CL sijui sio mkenya tena aliemuanika kwamba kamnunulia imekuwa bwana wa ki west, aisee huyu mwanamke ana ndugu/jamaa/marafiki? kwanini nao wanamuacha anajidhalilisha hivi? desperate kuolewa ama? kubadilisha gani wanaume huku? hivi ni kichaa ama unamtumia mtu kama prezoo mpicha ule? unategemea nini?
 
JF NDO MPANGO MZIMAAA....othr social networks yana mauza uza sn
 
Duh!Mapenzi ya instagram pesha tupu!

nitoe ushamba dear, huyu mdada ni nani, mana mie nikiperuzi kwenye blogs kuosha macho nakuta anasifiwaaaa sana, sijui swaga zake, sijui uzuri, lakini ukiniuliza ni nani ntakuambia ni mchaga! ni nani huyu?
 
Mh................ nimekosea njia haya mapenzi ya dot com haya. Hebu mie nirudi zangu kwa kina Marijani mie
 
Big up Chaggaz........Hapana chezea
Follow me unstagram @.......( -)
 
Mie ndio namuona hapa, yuko blog gani nikamcheki?

Sijui lolote zaidi ya kumuona hapa

nitoe ushamba dear, huyu mdada ni nani, mana mie nikiperuzi kwenye blogs kuosha macho nakuta anasifiwaaaa sana, sijui swaga zake, sijui uzuri, lakini ukiniuliza ni nani ntakuambia ni mchaga! ni nani huyu?
 
hawana u dot com wowote, wazee wenzetu tu hawa wamejitoa ufahamu wakaamua kuvuana nguo hadharani.

Hahah Da Mkubwa Nyamayao yaani nimeshindwa hata kusoma sijui ndo tweets sijui ndo instranini sijui ah.........kweli amang'ana au nijisemehe kwa lugha ya shemeji yangu Msukuma wa dadangu Nyamayao .... Mashkolo magheni
 
Last edited by a moderator:
Mie ndio namuona hapa, yuko blog gani nikamcheki?

Sijui lolote zaidi ya kumuona hapa

kha na wewe mshamba mwenzangu bwana, niliwahi kumsoma kwa mdada anaeitwa Mange, hata yeye hili bifu kaliweka pia, na ana uandishi wake ukimsoma utadhani unaona live, kachungulie.
 
Ngoja nije nikachungulie

Naskia huko kwa mange huwa kuna umbea moto moto wa mujini

kha na wewe mshamba mwenzangu bwana, niliwahi kumsoma kwa mdada anaeitwa Mange, hata yeye hili bifu kaliweka pia, na ana uandishi wake ukimsoma utadhani unaona live, kachungulie.
 
Hahah Da Mkubwa Nyamayao yaani nimeshindwa hata kusoma sijui ndo tweets sijui ndo instranini sijui ah.........kweli amang'ana au nijisemehe kwa lugha ya shemeji yangu Msukuma wa dadangu Nyamayao .... Mashkolo magheni

hahaha, yaani haya mapenzi ya kileo magumu aisee, ni boyfriend mmekutana juzi lakini unamuanika kila kona, kila mtu ajue upo na fulani, huwa hawafikirii wakiachana kama hivi kesho anamwanikaje mwingine? halafu mnadai wanaume wa kuoa hawapo, nani aoe mwanamke kama huyu?
 
I wonder why?????bora nnavyo ishi kithung life yangu/
 
Alianza Diva,kaja huyo mchaga sijui nani atafatia next month Prezzo atapata demu mwingine wa kibongo.Wanawake wa kibongo wanajidhalilisha sana
 
Back
Top Bottom