Penzi la Prezzo na Chaggabarbie kizungumkutu

Penzi la Prezzo na Chaggabarbie kizungumkutu

Kwa. Staili hii wanawake wa bongo wengi mtacheza sana kwaito za wenzenu na kicheni party mtatoa michango mpaka basi yako nehi mmh hebu kalale mie
 
Kwa. Staili hii wanawake wa bongo wengi mtacheza sana kwaito za wenzenu na kicheni party mtatoa michango mpaka basi yako nehi mmh hebu kalale mie

halafu watajiona wana mikosi sijui, kumbe mikosi wanajitia wao wenyewe.
 
Kibamia inategemea umekutana na Hole saizi gani hapa chini...
1390312542537.jpg
 
Mwanamke gani huyo anajitamba kupewa vitu na wanaume wengine?

Kwangu hiyo ni ishara ya utupu kichwani, kwamba, hana uwezo wa kutumia akili, bidii, na jitihada zake mwenyewe kujipatia vitu anavyotaka na hivyo kutegemea kutumia mwili wake kujipatia hivyo vitu.

Ukizaa na mwanamke kama huyo utakuwa unaongeza uwezekano wa kuzaa magarasha.
 
nitoe ushamba dear, huyu mdada ni nani, mana mie nikiperuzi kwenye blogs kuosha macho nakuta anasifiwaaaa sana, sijui swaga zake, sijui uzuri, lakini ukiniuliza ni nani ntakuambia ni mchaga! ni nani huyu?

Bora umenisaidia kuuliza,hv huyu chargabarbie ni nani?
 
Mh kazi kweli kweli,lakini kwa mwanamke au mtu yeyote mwenye akili timamu angekuja kujutia hili lakn nina mashaka na huyu binti wa kichaga...umri mkubwa lakn akili kama za kuku...!
Angekaa kmya tu maana kajidhalilisha tu...umri unaenda hashtuki af atataka kumkamata mchawi akat mchawi ni yeye mwenyewe
 
Kibamia inategemea umekutana na Hole saizi gani hapa chini...
View attachment 133643
Unaeza ukawa sawa ama sí sawa,ila vyovyote haiimpi mtu haki ya kumtangaza mtu ivo,hakuona km n kibamia tangu day one?mbona aliendelea kukaa nae?kwanza alikua anauwezo wa kujua km n kibamia kabla hatag hata hajakutana nae faragha km vibania was not her type?
Atupishe sis tumeshamuona mwehu
 
chaggabarbie...bad news weweeee kuku!
misschagga,huyu mdogo wako??
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ya kupost vitu kutoka mitandao mingine si ilishakatazwa?
sasa kuturudisha kwa wadaku wa Facebook tunajivunjia Heshima
 
Unaeza ukawa sawa ama sí sawa,ila vyovyote haiimpi mtu haki ya kumtangaza mtu ivo,hakuona km n kibamia tangu day one?mbona aliendelea kukaa nae?kwanza alikua anauwezo wa kujua km n kibamia kabla hatag hata hajakutana nae faragha km vibania was not her type?
Atupishe sis tumeshamuona mwehu

Mwehu kidogo,,,Mchagga mshamba sijapata ona anakaa America lakini utafikiri anakaa Uswazi.
 
Kwanini sishangazwi na anachopost huyu mdada?
Well,she represents or rather reflects a big portion of Tanzanian young ladies kwenye issue nzima ya kudeal na post-relationship matters!
Yuko kwenye league moja na Diva! Ndo maana nasema ni matusi sana diva kusema anataka ubunge 2015..wanaweza wakatokea wehu wakampa hata viti maalum halafu akaenda kunajisi ukumbi wa bunge!
Mbona sioni Kanye na Amber wakitukanana,Chris na Riri..na ni mastaa! Sasa hizi kapuku zisizojulikana vya kutosha zinaleta ubolizozo
 
hahahahaha LIKE hiyooo!!!
 
Back
Top Bottom