Penzi la raha na mwalimu wangu wa hesabu

Penzi la raha na mwalimu wangu wa hesabu

ImageUploadedByJamiiForums1393241239.964848.jpg
 
G zingatia ushaur wa price utakufaa sana ila nahisi siku hiz utakuwa ni mwl wa kiswahili kwan nakumbuka ulipataga dvsn 3 na comb zote ziligoma.
Nikiwa form four niliwahi kuulizwa div. two inaishia ngapi nikashindwa kujibu....Sisi tulikuwa tunataja points tu utasikia mimi nipate walau 10 na A flat kwenye combination....A level ilikuwa ni mtindo wa tatu au nne tu yan usichomoke kwenye rangi zile special watu8 analijua hilo..!
 
me? iam good at that..!

my height is supportive,

my weight is conducive,

i practice regularly. can you make a team with me?

Am not sure am still fit. Last I played was 2010
 
sorry Karucee.. hivi shahada na stashahada, which is a degree and which is a diploma??

dont lough please. kiswahili kigumu ati.
 
Last edited by a moderator:
mi nishazoea story za watoto wa kike kutembea na walimu,hivyo nilivyosoma title nikadhani G SAM wa kikeni!
 
sorry Karucee.. hivi shahada na stashahada, which is a degree and which is a diploma??

dont lough please. kiswahili kigumu ati.
Dude? Lol. Of all people you ask me? Lols hata sijui.
 
Last edited by a moderator:
Mitoto ya siku hizi nani aliyewaloga!! Kufundishwa mfundishwe ninyi kukashifu walimu wenu mkashifu ninyi na mkifeli hamkubali ujinga wenu mnasema walimu na serikali ndiyo chanzo!.... Ujinga mtupu huu
 
G Sam mbona haiendelei sasa au ndo imeishia tuimagine kilichoendelea
 
Last edited by a moderator:
"Three minutes left...." Kumbe stori ya dakika tatu halafu inakuwa kama ya miaka mitatu....! Mwishoni lazima utamalizia kufika kibo ndotoni kumbe uko kitandani....!
 
Back
Top Bottom