Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikiendelea usisahau kuniita.....
Usijali mkuu story imeendelea..fuatilia part 2 iko hewani!Nakubaliana kabisa na Price. Kijana anakipaji cha kutunga riwaya. Na hii riwaya yake ameianza vizuri sana. Kwangu mimi nimevutiwa sana na uandishi kiasi cha kwamba kama hadithi ni ya kweli au kufikirika hilo halinihusu. Kwa kweli kijana tambua unakipaji na hii hadithi yako ukiiandikia kitabu mimi nitanunu copy 10 kama bei itakuwa maximum 10,000. Hongera sana maana umenikumbusha riwaya ya "kivumbi uwanjani" tulipewa mwezi mmoja kabla ya kumaliza la saba. Umenifurahisha kwa kweli
Usijali mkuu story imeendelea..fuatilia part 2 iko hewani!
Mkuu points nilizopata O-level na A-level wewe kuzipata ni ndoto!
Hebu mmwagie mwaka na namba yako ya Mitihani husika (O Level & A Level) ili ajionee...Mkuu points nilizopata O-level na A-level wewe kuzipata ni ndoto!
Unafuatilia bunge la katiba?
Mkuu hata usiposikiliza haibadili msimamo wa Comedians kukutengenezea Katiba ya ki-comedian na ndiyo hiyo hiyo itakayotuongoza woteMkuu grafani11 hiyo comedy wanayooiita bunge la katiba mi sifuatilii maana wanachoongea sana ni posho posho posho sasa mimi niwasikilize wananisaidia nini
Mkuu hata usiposikiliza haibadili msimamo wa Comedians kukutengenezea Katiba ya ki-comedian na ndiyo hiyo hiyo itakayotuongoza wote