ila wanaume wa Tanzania ni wahuni sana na washamba wa mapenzi na papuchi.wanamuziki wengi tena mastaa wana wanawake ila sio kwa trend ya huyu dogo. diamond anapenda ngono balaa.Hahahaha kama Diamond kamla huyo mrembo basi huyo Domo ni kiboko aisee..
Yaani amevuka mipaka sasa anachakaza vitu imported, safi aendelee kuliwakilisha taifa vizuri
Ila sidhani kama hii ni kweli, itakuwa wanamzushia tuila wanaume wa Tanzania ni wahuni sana na washamba wa mapenzi na papuchi.wanamuziki wengi tena mastaa wana wanawake ila sio kwa trend ya huyu dogo. diamond anapenda ngono balaa.
yule jamaa hapitwi na sketIla sidhani kama hii ni kweli, itakuwa wanamzushia tu
Uku kukiwa tetesi na vithibitisho kuwa msanii namba moja Afrika Mashariki Diamond Platinumz amekula tunda la mshindi wa Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews uko Zanzibar.
Boss lady Zari Hassan uvumulivu ulimshinda na akamua kucomment middle page kwny 'gram ya Kifesi yenye picha ya baba wa watoto zake Diamond.
Zari hakuishia hapo na alihamia snapchat kuendelea kutoa madongo kwa style ya sizitaki mbichi izi.
Kwa upande wa Diamond bado hajasema chochote japo Dillish anaonekana gari lake la mapnz lishapata moto.
Anaonyesha ushababi na alikotokea sio?yule jamaa hapitwi na sket
kununua gari south Africa sio issue .kule magari ni very cheapZari katoka kununua mgari mpya wiki hii kuna wabongo wengine wamewehuka.. Wema ndie alimuacha Diamond akatoke na mzee anayempa pesa.. na alitangaza na mashabiki walitangaza na kusherekea... nashangaa wanamsingizia Zari kama vile aliingilia.
yaaani sijui ni ushamba au nini .kuna watu kama p square ,kina davido,wizkid ,tecno ni waafrica wana hela kumzidi yeye ila hutowaskia na skendo za ngono ovyo kama huyu wa kwetu .nadhani ni too much sasa inamuaibisha.hata kama ni uanaume hii ni too muchAnaonyesha ushababi na alikotokea sio?
Tatizo lake huwa akila anaacha traces ili ijulikane.. Sasa sijui ndio kutafuta sifa
sex is a basic need to men...sema ukiwa huna ela sio rahisi kupata warembo..kama ela ipo y asiwale atakavyo??ila wanaume wa Tanzania ni wahuni sana na washamba wa mapenzi na papuchi.wanamuziki wengi tena mastaa wana wanawake ila sio kwa trend ya huyu dogo. diamond anapenda ngono balaa.
Makuzi na malezi..yaaani sijui ni ushamba au nini .kuna watu kama p square ,kina davido,wizkid ,tecno ni waafrica wana hela kumzidi yeye ila hutowaskia na skendo za ngono ovyo kama huyu wa kwetu .nadhani ni too much sasa inamuaibisha.hata kama ni uanaume hii ni too much
Ina mana wanaume wote wa tanzania unazijua ndoa zao na maisha yao ya kindoa A-Z ?nadhani mmemuelewa Zari nyie team kunuka....she is very smart na wala hana muda wa kupambana na Dai kisa anatomb.a madem wengine......Zari anajua fika jamaa lazima atakua anatomb.a nje so the only way to ensure her existence ni kutoonyesha mawivu ya kijinga, kusaka noti zaidi na kulea familia.....1 minute, lets be honest,,,,mwanaume gani kibongobongo alieoa ambae hajacheat mkewe? ebu tuanzie apa kwanza.....
Kuna hobbies za aina mbalimbali! Mie naona hii ndio itakuwa hobby yake aiseeAnaonyesha ushababi na alikotokea sio?
Tatizo lake huwa akila anaacha traces ili ijulikane.. Sasa sijui ndio kutafuta sifa
Basi sisi hatuna namna zaidi ya kuendelea kuhesabu tuKuna hobbies za aina mbalimbali! Mie naona hii ndio itakuwa hobby yake aisee
kununua gari south Africa sio issue .kule magari ni very cheap