Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Vijana wa kitanzania fanyeni kazi, kuna maisha baada ya Diamond na ufuska wake. Msipo angalia Mkapa atakuja tena hadharani kuwatukana, shauri zenu....fanyeni kazi jamani.....huyo domo na ufuska wake hauwahusu hata kidogo.