Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

Mdogo wetu anawatafuna warembo kama hana akili nzuri, baada ya zari wa UG sasa amgeukia DILLISH wa NAMIBIA, anacheza international games kwa kwenda mbele...sasa cha ajabu anafanya mambo hadharani kabisa hapa hapa DAR, wakati dunia nzima inajua yupo na ZARI na juzi tu katoka mvisha pete pale madale......wakati huo huo ana issue ya kuzaa na hamisa...crazzy crazzy


tizama mtoto alivo mzuri hapa:


HIVI HUNA KAZI? AU NDIYO USHILAWADU?? KWA USAWA WA JPM KAA CHONJO SAA MBAYA[TUMIA MUDA MWINGI KUINGIZA TIJA MWANAUME]
 
Bora Mungu alifanya ivi vifutio vyetu haviishi,maana ingekuwa vinaisha kama Mshumaa,kuna watu wangeumbuka.
 
Mimi nasubiri mapicha na mavideo wakiwa wanazini, nadhani safari hii tutapata free porn video .
Ila mapenzi daah, dai akishafanya ujinga ujinga anaenda kuomba msamaha na zari ili kukomoa watu atapiga picha kila tukio halafu anatuwekea[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Na zari nae anafurahi kukomesha wambea kua kacheat ila karudi[emoji3][emoji3] akili zake anazijua mwenywe.

Naona Dai anajua kabisa zari anapenda show off so anambembeleza kupitia hiyo njia.

Ila Dai jamani hajui kufunga zipu sijui kwanini? Nampongeza Zari ni mvumilivu sana aisee
 
Mdogo wetu anawatafuna warembo kama hana akili nzuri. Baada ya Zari wa Uganda sasa amgeukia Dillish wa Namibia, anacheza international games kwa kwenda mbele. Sasa cha ajabu anafanya mambo hadharani kabisa hapa hapa Dar, wakati dunia nzima inajua yupo na Zari na juzi tu katoka mvisha pete pale madale.

Wakati huo huo ana issue ya kuzaa na Hamisa...crazzy crazy

Tazama mtoto alivo mzuri hapa:

Acha mwana avunje mifupa angali meno ipo, alichezea vibuti sana akiwa sio famous
 
Back
Top Bottom