Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vibamia vipo vya kutoshaAnaposema So many [emoji533] just like so many [emoji77] ana maana gani wakuu?
Wewe sijakuelewaWeupe wa dada yake ndio utakuwaje???

Ben ten wanamatatizo sana Zari
Siku ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond Platnumz, Kifesi alipost picha ya boss wake Diamond kwenye ukurasa wake wa instagram Picha ambayo alimpiga yeye, baada ya post hiyo mzazi mwenza na mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady akakoment kwenye post hiyo kwa kuweka emoji ya kidole cha kati.
Baada ya Zari kukomenti hivyo mashabiki wakahusisha hilo na swala ambalo Diamond anadaiwa ya kuwa yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 anayetokea Namibia, Dilish Methew huku ikisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi kitu kilichomfanya Zari akomenti vile kwenye picha ya kifesi aliyompost Diamond.
Muungwana
Mond ana mambo ya kitoto...hajatuliaBen ten wanamatatizo sana Zari