donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,589
- 3,184
Wanaume wangekua kila tendo wanakojoa tofauti na utamu na unaongezeka tungekomaa
Ni Kweli kila kisima kina utamu tofauti wa maji yake na joto lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wangekua kila tendo wanakojoa tofauti na utamu na unaongezeka tungekomaa
Hela gani anazosaka au kushinda na camera 24/7, smart atakuwa yeye na Jokate wetu tumuweke kundi gani, na ingekuwa haimuumi angekazana kutoa madongo huko snapchat hapo alipo inamchoma kama pasi ya umeme inavyochoma anawaza tu siku akitemwa rasmi, malipo hapa hapa duniani kama alivyomchukulia mwenzie bwana bila aibu naye wamemchukulia hivyo hivyo.nadhani mmemuelewa Zari nyie team kunuka....she is very smart na wala hana muda wa kupambana na Dai kisa anatomb.a madem wengine......Zari anajua fika jamaa lazima atakua anatomb.a nje so the only way to ensure her existence ni kutoonyesha mawivu ya kijinga, kusaka noti zaidi na kulea familia.....1 minute, lets be honest,,,,mwanaume gani kibongobongo alieoa ambae hajacheat mkewe? ebu tuanzie apa kwanza.....
Albadir imeshaanza kufanya kazi
[emoji23]hhahahahahaahahahhahahah aisee nimecheka kwa nguvu
😀😀😀😀😀Hahahaha kama Diamond kamla huyo mrembo basi huyo Domo ni kiboko aisee..
Yaani amevuka mipaka sasa anachakaza vitu imported, safi aendelee kuliwakilisha taifa vizuri
mimi hapa boss, nampenda mke wangu kufaaanadhani mmemuelewa Zari nyie team kunuka....she is very smart na wala hana muda wa kupambana na Dai kisa anatomb.a madem wengine......Zari anajua fika jamaa lazima atakua anatomb.a nje so the only way to ensure her existence ni kutoonyesha mawivu ya kijinga, kusaka noti zaidi na kulea familia.....1 minute, lets be honest,,,,mwanaume gani kibongobongo alieoa ambae hajacheat mkewe? ebu tuanzie apa kwanza.....
Alimchukulia nani bwana ebu funguka na mimi raia wa kolomije nipate kujua tafadhali..Hela gani anazosaka au kushinda na camera 24/7, smart atakuwa yeye na Jokate wetu tumuweke kundi gani, na ingekuwa haimuumi angekazana kutoa madongo huko snapchat hapo alipo inamchoma kama pasi ya umeme inavyochoma anawaza tu siku akitemwa rasmi, malipo hapa hapa duniani kama alivyomchukulia mwenzie bwana bila aibu naye wamemchukulia hivyo hivyo.
Celebrities forum, ndio ulichokifataDemu mpya wa Diamond!! Then what? Inatuhusu nini labda?
Huyo kichwani ni bure halafu muuzaji asie na kituBORA HAMISA HUYU KAKOMAA