Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Kuna mwana amenogewa na penzi la kipare
Anasema ni tamu kama papai
Mind you, papai halijawahi kuwa refu
Anaomba asiulizwe maswali, utamu huo aje?
Umemwelewa lakini?
Anasema ni tamu kama papai
Mind you, papai halijawahi kuwa refu
Anaomba asiulizwe maswali, utamu huo aje?
Umemwelewa lakini?