Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Unataka kusema ni pakavu..!!Hamna mvua hapa kwangu tangu april 2024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema ni pakavu..!!Hamna mvua hapa kwangu tangu april 2024
Kumbe na we unakuaga umeshiba
Leo nakujaUnataka kusema ni pakavu..!!
Haijanyesha mvua DarUnataka kusema ni pakavu..!!
Uje whatsappL
Leo nakuja
Hadi hapo umeelewaKiswahili nilipata (ga) c ila sijakuelewa
Uje na huku Liverpool VPNHadi hapo umeelewa
Itaisha atakuja kama hawatomkwapua simu yake.Yuko simba day
Mmmmh wongo...Haijanyesha mvua Dar
Wewe...Uje whatsapp
UweeMwambie aache kula hela ya watu ya pensheni...
#YNWA
HajajaItaisha atakuja kama hawatomkwapua simu yake.
Uwanja wa mkapa au?Mmmmh wongo...
Leo mbona ilinyesha kidogo
Whatsapp kumenogaWewe...
Huyo anakuja kwangu mbona unataka kuharibu harakat za watu wewe khaaa
Kwanini?Wapare siyo wa kuwachukulia poa. Nina uzoefu nao
Kwanini?
Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi
Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...www.jamiiforums.com