Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Usiombe hawa vijana wa sasa wakaingia shambani kwako ni watoto wabaya na waharibifu mno hutumia utaalam mkubwa kuvuna kwa mikono midomo nk wakipita shambani kwako hesabu hasara
 
Hiyo akili ni ipi?
Kuna mwalimu alinifundisha saikolojia kipindi nipo chuo,anaongea pointi nyiiingiii halafu mke wake alikua anatoka na rafiki yangu.
Sijajua akili hiyo ni ipi au wanaosemaga hawayaishi maneno yao,mi sijui.
 
Sasa kwa huyu mumeo kwa wakati huu unataka kitu gani ambacho labda ndio kinafanya uendelee kuwa nae? Unawaza eeti mngekuwa mnaishi tu bila sex!

Kwani zaidi ya sex wewe unampa nini huyu mumeo? Ikifika hatua hii bora ukaanzisha maisha yako bila huyo mwamba maana utamuumiza agundue halafu ionekane ni mwanaume katili
 
Tuliza akili anza kufanya vitu vingi Na mmeo ongeeni na kumbuka kwanini uliolewa naye bado unampenda mumeo acha kumuwaza au kufanya comparison Na kijana.
 
Shida wanaume wakisha oa Wana treat mwanamke kama baba na mtoto hakuna tena Yale mapenz ya zamani hata utani pia hakuna show innakuwa mbovu kutokana na majukumu mengi so mwishowe wanawake wanaanza kucheat
Ila dad jikaze hiyo n ndoa angalia usipoteze Dira yako na watoto wako jitahid kurudisha hisia kwa mmeo
 
Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Story yako na kijana uliyekuwa unachepuka nae niliisoma na watu wakakushauri kuwa unaharibu amani ya familia yako. Ila hukusikia ukaendelea nae

Sasa mmeachana na ndoa yako unataka kuivunja (ndio dalili za mwanzo)

KIFWATACHO NI HUZUNI NA MAJUTO MBELE YAKO. NAOMBA UZIMA NI SOME EPISODE YA TATU YA HARAKATI ZAKO
 

WE HISIA BADO UNAZO SEMA ZIKO ARCHIVED.
Ukitaka kujua hisia bado unazo ngoja siku aje agundue unachomfanyia alafu amue kutafuta kadada kenye heshima na nyuchi yake alafu waanze kupeana raha alafu we urudi kwa uyo kijana wako asiyejua nini maana yakua mwanaume hutaona kama izo VEINS zake zitalea watoto utamtamani tena mumea na utakua ukimkumbuka mkiwa mnasex na (muda huo keshajipatia kadada anakacare) huwez kupata usingizi utatamani tena show zake na hutozipata na za uyo kijana hutosikia chochote utaona anakupaka jasho tuu. UNARCHIVED.
 
Ulete mrejedho tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…