Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Mwanamke anayependa sana kiswanglish muogope kaa nae mbali ni mtego. Kuna msichana type hii ya mtoa post wa kupenda english-swahili ana mtu wake ambaye ni afisa mkubwa tu serikalini na anamhudumia kila kitu ikiwemo zile vacation za Zanzibar ila mimi kuna wakati flani nikiwa mdhambi nilikuwa namwita huyo demu maskani kwangu tena uswazi sana ninamla. Wananchi wa uswahilini walikuwa wakishangaa benz aliyohingwa manzi inapaki nje kwangu.. madem wapenda kiswanglish ni tatizo.
 
Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good,
Ndoa huvunjika mara tu baada ya mmoja kuingia ktk uzinzi, tiyari umeshakuwa mzinzi nguri mwambie wazi mumeo akupe talaka yako uendelee na kijana wako kupelekewa moto.
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Acha Umalaya.
 
Sioi super woman Mimi
Ntaoa mama wa nyumbani anisubiri nirud kazini na mfuko wa nyanya na dagaa anipokee tufurahi . Ila sio Hawa malkia wa nguvu au wanawake wa shoka yupo Arusha wewe upo dar
Au mnaishi wote lkn kazn semina za mikoani haziishi hapo apn kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Ni mimi mume wako.
Nikimoata huyo kijan nitmnyonga kwa korodani zake.
 
IMG_20230413_233834.jpg
Saint Anno II muda huu saa 23:44 usiku nikiwa na uchovu mwingi nikijaribu kusoma ili nielewe kisa cha malaya aliyekutana na mwanaume msamaria sasa anamletea mapicha picha.
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Tafuta kijana mwingine

Ushauri wa hovyo😀
 
Wanaume ambao ni nice man wake zao wanaliwa sana ni kawaida,pia mwanamke akianza kucheat hata maisha ya mwanaume yapo hatarini ndio maana hata wanasaikolojia wanasisitiza sana wanawake wasicheat haina maana mwanaume ameruhusiwa lahasha mwanaume ni rahisi sana kuhandle michepuko,hata kwenye biblia mfalme suleiman na busara zake alikua na mzigo wa michepuko,wanawake ni hatari mno kucheat na ukimgundua muache haraka sababu wao hucheat kwa kumpenda yule mtu wakati mwanaume anaweza kulala na mchepuko na baada ya show akamtimua na asitake kabisa kumuona,pia ni rahisi mwanamke kupata maambukizi sababu hukubali kila kitu ikiwemo kutotumia kinga sababu ya kumpenda mchepuko wake ,pia zipo kesi za wanawake kushirikiana na michepuko yao kufanya mauaji ya waume zao
 
Shetani hana rafiki na lengo lake huwa ni kuharibu tu.

Sentensi hii utaielewa baadae Sana.

Kutoka nje ya ndoa ni kuingia mkataba wa kufanya kazi na shetani.

Unachotakiwa kufanya ni kutubu toba ya kweli Kwa dhambi ya uzinifu kisha ubadili Tabia yako na utoe sadaka Kwa wenye changamoto za maisha ili kuomba huruma ya muumba.

Nakuhakikishia unaposex na mumeo shetani huwa katikati ya tendo maana unavunja mkataba mlioingia Kama Fei na Yanga na hapo ndipo utapojua mkataba hauvunjwi Kienyeji
Shetani anaingilia kati na kumwaga mchanga kwenye K matokeo yake wote mnaumia. 😀😀😀
 
""My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo""

Ila nyie wanawake.
Halafu kuna mabwege wanajisifu kuwapa hela malaya ndio kupendwa zaidi na kinga ya kutochitiwa.

I once said the more you entertain a woman the more the chances she will cheat. Wanawake wanapenda vihoro yani, make her mind wonder everytime usimpe pumziko la akili. Mpeleke mputa mputa mtaishi miaka hata buku hatagongwa hata na nyuki.

Ila mpe magari, butters, hela na kila kitu ndio utashangaa anagongwa na mziba pancha wa carwash anapopelekaga gari kuoshwa.
 
Wanaume ambao ni nice man wake zao wanaliwa sana ni kawaida,pia mwanamke akianza kucheat hata maisha ya mwanaume yapo hatarini ndio maana hata wanasaikolojia wanasisitiza sana wanawake wasicheat haina maana mwanaume ameruhusiwa lahasha mwanaume ni rahisi sana kuhandle michepuko,hata kwenye biblia mfalme suleiman na busara zake alikua na mzigo wa michepuko,wanawake ni hatari mno kucheat na ukimgundua muache haraka sababu wao hucheat kwa kumpenda yule mtu wakati mwanaume anaweza kulala na mchepuko na baada ya show akamtimua na asitake kabisa kumuona,pia ni rahisi mwanamke kupata maambukizi sababu hukubali kila kitu ikiwemo kutotumia kinga sababu ya kumpenda mchepuko wake ,pia zipo kesi za wanawake kushirikiana na michepuko yao kufanya mauaji ya waume zao
Treating a woman nicely au being overnice kwa mwanamke ni mlango wa matatizo yani. Sio guarantee ya kwamba atakupenda per se. Atakufanyia usenge tu at the end.

Wale mabandidu ndio huwa hatuzinguliwagi sana sababu tunawapeleka mputa. Just put her in her place inatosha.
 
Inaonekana umbali wenu umepunguza Hadi mawasiliano yenu, ndio maana bond imepungua.
But good thing ni kwamba Feelings za mwanamke huwa zinatengenezwa, ni mindset yako kwanza na willingness yako.

Kama kweli umedhamiria kurudisha penzi "anzeni uchumba upya" I mean zile mlikuwa nafanya kipindi mnafukuziana zifanyeni Sasa, token out somewhere romantic just the two of you, pigeni stori za hapa na pale as if ndio you're trying to get to know him.

Open up your heart and let him in again, na usirudie tena "upuuzi" ule, wanawake hatujaumbiwa kutenganisha sex and love, whomever you sleep with has a greater Chance of winning your heart over!
FACT!! Women can not separate sex from love.Utacatch tu feelings kwa whoever you are fucking with
 
Back
Top Bottom