Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Tayari internal spirit za kijana zimekuingia na infact zina nguvu kuzidi za mume wako. Nenda kaombewe na mume wako science can not do anything there. Kingine Mungu hakuumba watu waoane hlfu wakae mbali mbali
Kunakuwaga na kitu kama hiki?
 
nina miaka 35 sifikirii kuoa naona hisia zangu zipo sahihi, wiki mbili zilizopita nilikuwa hapo iringa mjini nimepita mahali nipate zangu lunch kisha nianze safari yangu ya jombe, aisee si akaja dada mmoja mrembo kweli , nikahama nilipokaa nikamfuata nikamuomba contact , kanipa nimefika zangu makambAko nikampigia kanijibu yupo n mume na familia nimcheki kesho, nikaona poa nikampigia kesho yake akadai yeye amaeolewa na kweli nikangalia jina lake fb , inst kweli bwana kaolewa na ana watoto wawili, aisee nikamuomba akadai haiwezekani, nikaona poa , wiki iliyopita kanipigia kadai anapita anaenda mbeya kikazi , nikamwomba apite MK ashuke , kashuka nimemfuata tumeongea nimelipa bill , katik mazungumzo anadai hayupo happy n mumewe anazingua hana nguvu sijui, dah kaenda mbeya kesho jumatano anapita hapo tena sasa nimkule au nimwache, nikiona picha za mumewe nawaona wanawake mbwa, hunifahamu why uniambie weakness ya mumeo , , nikiona post kama hizi naishiwa hamu kabisa ya ndoa
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
fanya yafuatayo:
1.kwanza rudisha feelings wewe kwake
2.mwambie unataka sex ya namna gani yaani vile ulivyokuwa unakanyagwa na yule kijana
3.fanyeni sana foreplay
 
Pole Sana.
Hili umefunga agano na litakusumbua Sana kama hutasimama imara.
Litaitafuna nyumba yako, NI kama mbegu watoto wako wanaweza wakike kuwa machangudoa au mashoga kwasababu umefungulia lango.
Kutoka 20:2-7
 
Hakuna jipyawe endelea ku cheat tu ilimradi una furaha
 
Hivyo vi ingereza vya kuchanganya changanya utafikir mboga ovyo kabisa... Andiko lako nimeshindwa kusoma
 
Hii mada niliisoma jmosi nikasoma na maoni wee kisha nikaiacha. Leo ikanijia akilini nikasema nami niweke ushauri wangu hapa japo sina hakika nitakachoandika hakijagusiwa. Au pengine umeshapata majibu kutokana na shauri ulizosoma.

Ni hivi, una mchepuko kijana na anakukidhi mahitaji ya hisia zako hadi mumeo anaonekana garasa. Una hakika na mumeo nae hana mchepuko? Umesema ungewish mtengane kwa vyumba na ikibidi talaka, ila huwezi lianzisha kwa kuwa mume ni muungwana sana. Vipi kama naye anawaza the same?

Kikubwa msijetengana au kutalikiana kwa huo upumbavu unaoendelea. Yawezekana fika wewe ndio unamlipa kijana akushughulikie. Na yuko huru kukushughulikia kwa kuwa anajua wewe ni mke wa mtu. Kwamba alikata mawasiliano baada ya kujua ni mke wa mtu na una watoto hiyo sio excuse. Pindi mkiachana na mumeo ndio utajua huyo gigolo ni nani. Nawe utageuzwa mchepuko wa kijana huku akikuwekea masharti ya kumuona na kuwa nae. Kutopata hisia juu ya mumeo ni kujiendekeza. Ukiamua zitarudi. Mtizamo ni kitu cha ajabu sana. Litatokea jambo kati yako na huyo gigolo (ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya) na utamchukia na hisia juu yake zitapotea. Mtizamo. Endelea kimheshimu mumeo no matter what
 
Ishi maisha Yako asikupangie Cha kufanya huyo mume muwekee sumu alafu kalale na huyo kijana siku zote akupelekee moto ukiweza zaa kabisa.
 
Leo ndio naamini wale vijana wa kusema kataa ndoa wapo sahihi.
 
Daah hamna namna ya kutuma voice note humu 😁 povu likiwa kwa maandishi linakua ngonjera tu
 
Sioi super woman Mimi
Ntaoa mama wa nyumbani anisubiri nirud kazini na mfuko wa nyanya na dagaa anipokee tufurahi . Ila sio Hawa malkia wa nguvu au wanawake wa shoka yupo Arusha wewe upo dar
Au mnaishi wote lkn kazn semina za mikoani haziishi hapo apn kabisa.
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
We hata kama ueolewa ni malaya wa kawaida. Hujui hata usemacho. Hao vijana unaowasifia kwa kukuzua huwajui vizuri. Wana uzoefu gani na mambo ya kitandani zaidi ya kukuruka. hata pasipohitaji kufanya hivyo? Sema una matatizo yako. Nashauri wazee wenzangu muwasaidieni vijana. Anachosifia huyu hapa ni ushahidi kuwa hakubahatika kujifunza na kufuzu katika ndoa yake hadi anahangaika na kuwawangia wanawe. Aibu.
 
Confess in front of your husband. You will fight for a few days but eventually he will forgive you.
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.[emoji2827]
 
Haya ndio maisha na hii ndo dunia
Na Ukiona hivi ujue na mumeo Hana hisia na wewe kuliko hata wewe Ila anajikaza tu, Ngoma dro
Siku mkitofautiana ndo utashangaa Kumbe yeye alishakuchoka miaka 10 iliyopita
Watoto wanasababisha kuvumiliana
 
Back
Top Bottom