Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Nyie hata mpewe nini huwa hamridhiki, naimani hata hamjui mnataka kupewa nini 😂😂😂 nacheka kama mazuri , naona inanyesha sasa kilichobaki ni kuona panapovuja
 
Kuna tofauti gani kati yako na Malaya?? Yaani unasaliti ndoa yako alafu unaleta ujinga kama huo humu ndani??
 
Good advice
 

Muulize Mama yako ndo kapitia hiyo situation ndo umerithi tabia za hovyo kwake.
 
" kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good,"

Apo inaonyesha mumeo ana fedha kama angekuwa kapuku hata bila sababu ungesepa tu, daaah pole sana kwa mumeo.
 
Unataka ushauri gani wakati ulishajishauri na kutekeleza? Hisia zimeshakata kwa mume wako, wewe cha msingi edelea na kijana wako.
Kama umefikia hatua unataka mshirikiane mengine lakini si mapenzi, bora usijilazimishe, huko muendako mnaenda kutoana uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…