Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Wanandoa wengi wanaishi kwa mazoea, pia hua hawabadili mahali pa kus*x, inafanya s*x kuwa co kit Cha ajabu.... Mkiwa mnachange location hata ubongo hua nao unabadilika mnyanduani unaanzia kweny ubongo , co geuka chomeka pwaaa! Mmelala... Mue mnatok hat nyuma ya nyumba saa 8 za usik unamuinamisha Cha masikhara mnarud ndan....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeee!!!!
 
My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please
emoji120.png
. Thank you
Km wewe ni Christian funua Bible kisha soma Mathayo 27:52-53 ukimaliza ni-quote ili niendelee

Nitakuja kuendelea
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.

To be honestly umeyataka mwenyewe but kukusaidia tu usiendelee na huyo kijana.
Kamwe usimlinganishe mume wako na mchepuko, hilo ni kosa la jinai .
Block him kila kona, itachukua muda sana but
After a time utamsahau utaanza kurudi normal otherwise consider ni suala la muda your husb ataja gundua na ndoa yako itaishia shimoni.
 
Wanawake wengi wanaotumia kiswanglish ni Malaya tu. Kisa kijana tu amefanya usahau yote mliyotengeneza na mumeo mpaka mkafikisha watoto wanne? Huyo kijana una future nae?.
Sasa kumwita mwenzako malaya ndiyo nini? Kwani nyinyi munaojifanya wasafi huwa hamukosei?

Mpeni ushauri musianze kumpima kwenye mizani.
 
Sijui hizi kitchen party huwa mnafanyiwa kwa makusudi gani ila nijuavyo mimi kuolewa/kuoa inafikia kipindi unaishi kwa kuwajibika kama mwajiriwa wa private sector tu. Hata kama hauna mood utatoa mzigo tu sawa na mfanyakazi siku anaamka mvua kibao lakini atatafuta mwamvuli ilimradi afike kazini bila kujali atafanya kazi kwa ufanisi kiasi gani.
 
Back
Top Bottom