Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Chai how?? Wakati ina make sense kabisa na huu ni muendelezo alishaweka first portion hapa…sio kila kitu unakurupuka
Sikurupuki mkuu na ukitaka kujua sikurupuki kaangalie kwenye hyo post yake ya mwanzo juu kbsa utaona reply yngu ipo juu kbsa kweny zile 3 zamwanzo ila naona kbsa anatudanganya
 
Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea,
Hapa ukikolezwa kuzidi hapo, tayari unaye familia na hela miradi unayo na labda tayari watoto wanajitegemea ,ukichanganya kuwa huwa anakufanyia mabaya ama anakuletea kero. Am sure huyo anayekukoleza akikuambia kuwa mie bana nahitaji nijiachie na wewe sitaki kumuona mmeo.

Kama yule wa deepond aliyeleta alikuwa anampa dawa ya macho akauugua mpaka akafariki ili aenjoi maisha na daktari.

Kweli ke bana yaani ,sie tunachepukq na bado tunahisia na wake zetu.


Duu vijana tumieni huu ushauri kaoe ama jifunzeni kwa huyu dada. Kaoe unakofahamika , Sasa wewe kutana naye kazini ama chuoni ujifanye wewe mjanja umesoma kuliko babu zao.
Yaani mie niliwaogopa wanawake kabla hata sijaoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu khaaah
Wanandoa wengi wanaishi kwa mazoea, pia hua hawabadili mahali pa kus*x, inafanya s*x kuwa co kit Cha ajabu.... Mkiwa mnachange location hata ubongo hua nao unabadilika mnyanduani unaanzia kweny ubongo , co geuka chomeka pwaaa! Mmelala... Mue mnatok hat nyuma ya nyumba saa 8 za usik unamuinamisha Cha masikhara mnarud ndan....
 
Sinaga userious na wanawake
 
Mwaka huu nategemea kuoa, ila mastori kama haya yanavivunja moyo.... imagine mchizi hana kosa lolote na unamsaliti. Kuna haja ya kukataa ndoa
 
Kwahyo hata plan ya kumpatia kijana mtoto imebaunsi?
 
Nyie watu a mother of four kids unawaza haya mdogo wako mwanao watafanya nini!?
 
Adhabu ya malaya km wewe unaijua? Bila hata aibu unatuandikia hii shombo. Umetudharau eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…