Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeee!!!!
 
Km wewe ni Christian funua Bible kisha soma Mathayo 27:52-53 ukimaliza ni-quote ili niendelee

Nitakuja kuendelea
 

To be honestly umeyataka mwenyewe but kukusaidia tu usiendelee na huyo kijana.
Kamwe usimlinganishe mume wako na mchepuko, hilo ni kosa la jinai .
Block him kila kona, itachukua muda sana but
After a time utamsahau utaanza kurudi normal otherwise consider ni suala la muda your husb ataja gundua na ndoa yako itaishia shimoni.
 
Wanawake wengi wanaotumia kiswanglish ni Malaya tu. Kisa kijana tu amefanya usahau yote mliyotengeneza na mumeo mpaka mkafikisha watoto wanne? Huyo kijana una future nae?.
Sasa kumwita mwenzako malaya ndiyo nini? Kwani nyinyi munaojifanya wasafi huwa hamukosei?

Mpeni ushauri musianze kumpima kwenye mizani.
 
Sijui hizi kitchen party huwa mnafanyiwa kwa makusudi gani ila nijuavyo mimi kuolewa/kuoa inafikia kipindi unaishi kwa kuwajibika kama mwajiriwa wa private sector tu. Hata kama hauna mood utatoa mzigo tu sawa na mfanyakazi siku anaamka mvua kibao lakini atatafuta mwamvuli ilimradi afike kazini bila kujali atafanya kazi kwa ufanisi kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…