Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Asante kwa ushauri dear
 
Kwakweli bibie badala ya kuzama kwenye maombi na kutubu yeye anawaza kutenga chumba na kubadili pafumu ili apate msisimuko,tangu lini shetani akapenda ndoa iliyotulia
Ndo madhara ya kuoa wanawake wasio waombaji
 
Yeye anataka alowane kwanza ndipo apelekewe moto; sasa wewe unaleta mambo ya mstari mara igunga 20:1-12, huo mstari utamuongezea kulowana kweli.
Injini 4 kashusha leo aje hapa kutuomba sisi jinsi ya kuongeza Oil kwani wakati anaanza kushusha injini ya kwanza ni Nani alimuomba amuelekeze jinsi ya kuongeza Oil emu aache kutuchezea akili, akasome Mathayo 27:52-53 kwanza alafu aseme niendelee
 
Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.

Katubu! unakoelekea ni kubaya.

Ulivyokuwa na mmeo ulikuwa unamfeel na kumfurahia! Tamaa ikazaa dhambi, na dhambi ilipoingia unaifurahia na kukutoa kwenye reli mpaka unatamani taraka! What next! Mauti! Mmeo akikufuma! Ndo utamjua! Kama sio mmeo basi: mamikosi, nuksi, magonjwa, kukataliwa, n.k. havitaondoka mlangoni kwako!
 
Sio fair kabisa yaan alafu anasema kabisa hamfeel Sasa umueleze kua mzee unapopitisha liulimi lako huko kwenye mbunye Mimi sifeel chochote nakuona km unanipotezea muda tu maliza mchezo kojoa kila mtu aendelee na habari zake maana anataka waanze kuishi tu km washkaji bila sex, jamaa hajui kitu anaona anamfurahisha mkewe kumbe daah unaweza ukanunua Gari ya thamani ukampa mwanamke akakuona bonge la fala sababu kuna mwanaume somewhere amemzawadia mansion ufukweni
 
Mh ndiyo maana hatuolewi kwa sababu hizi, mtu unapendwa malipo ya upendo wa mume wako ni kumcheat siyo? Siku akijua akakuwekea gunia za mkaa tusilaumu wanaume wana roho ngumu.

Kama unaona kuna jipya umejifunza kwa kijana wako basi introduce kwa mumeo awe anakufanyia kama huyo kijana ili uache kumcheat, kama ni hizo veins basi nendeni gym na mumeo mtafute hizo veins 🤔,siyo fair.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…