Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Pole sana hii hutokea mara nyingi, mm feeling kama hizi nimezipata kwa mke wangu now toka 2016 tunaishi kama dada na kaka labda tukitakaa mtoto we give kama week akiconcive basi tunaacha tena.
Ananipenda and nampenda and we are good hatuna ugomvi. Mm pia vischana under 20 ndo vimeniharibia
 
L
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Lazima kijana akuletee Moto...ndoa ya ndugu yangu mmoja ilikufa baada ya mama kukutwa na Moto na baba ni mzima...wanaume tunacheat ila atuendi na mioyo yetu ndio maana mara nyingi unakuta tunacheat with Condoms On. Ila mwisho vijana hakuna kitu kama long distance relationship...labda muwe mshachokana na kila mtu anamalizia yake pengine.
 
Back
Top Bottom