Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Jamaa kamla tunda kimasihala.
 
Ushauri wako ni mzuri kwa sababu hata asipovunja ndoa, ule ukaribu (Intimacy) uliokwepo Kati yake na mumewe hautakwepo tena!
Atakuwa anaonyesha mapenzi ya kinafiki.
Afanye tu uamuzi wa kuendelea na kijana wake ambaye atakapokuja gundua kuwa hakumweleza ukweli kuhusu ndoa yake lazima atamtimua.
 
Jamaa kamla tunda kimasihala.
Muache ajizime data siku Hicho kijamaa kikimwambia me nina Mtu wangu na malengo nae ndo atajua hajuii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anajihisi anapendwaa mwenyewe..
 
Dogo anazama siyo !! Ha ha ha ha hapo lazima udate.
 
Anyway kimsingi umeishafanya maamuzi na unahitaji sms kadhaa kusupport maamuzi Yako nami nasema YAFANYE UMBWA WEWE!!
Ha ha ha ha raia mna hasira na mleta mada.
Sio mada ya kweli hii, mleta mada anatuchora tu
 
Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me,
Acha umalaya wewe !! eti deep in love hovyoo!!
 
Kuna tatizo kubwa katika kufikiri na kudadisi yaani mtu analeta story ya uongo halafu watu wanatiririka nayo.Ndiyo maana serikali haipati tabu kutupelekesha na vitu vya kipumbavu.
🤣🤣🤣
 
I am sorry for kuwatukanisha dear. But Nimekuja kuomba mnisaidie dear how to overcome this maana I am confused dear. Tuna Mwaka Sasa but it is not like sijui mapenzi no only that Kijana is a pro dear. Thank you for the advice dear.
Pole sana... achana nae japo it's hard najua... utaumia ila utaiponya ndoa yako.. taratibu tu utazoea.. hata kama waume zetu wanacheat ila hatuwezi shindana nao.
 
Pole, yamekupata yepi mkuu?
Staff mwenzake na wife ndo alikuww anamgonga afu sikuwa na ushahidi wa moja kwa moja zaid ya kuhisi ukaribu usio wa kawaida, pamoja na sms ambazo zina vi ishara vya beyond normal relationship ila sio za mapenzi.
Pia ugomvi wa mke wa jamaa na mmewe kuhusiana na ukaribu wa yeye na mke wangu pamoja na rafiki yake mke wangu ambao wote ni staff moja. Ugomvi huu aliniambia wife mwenyewe. Nlichoamua coz wife anafanya kazi mbali na tunapoishi so kufuatilia ni vigumu coz nipo bize na mm job.
Nlichoamua ni kuwa malaya tu napiga vitoto ovyo hadi vitoto vinatosha kuniita baba.
 
Mmeachana au mko pamoja
 


Mshauri wa ndoa imekuaje tena??

Hizi post zako za 2017 na inaonekana ulikuwa mlokole. Shetani amekuweza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…