Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeogopa sana[emoji24]Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.
Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.
Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.
Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.
Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.
His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].
For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...
He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.
Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.
Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.
Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .
Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].
Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?
Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.
Asanteni
Mnnnh. Toka nisome mada yako bado na process Kama ni kweli au unachangamsha tu jukwaaUkweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Nakazia hiyo Aya ya mwishoKaitoa mahali ila watu wa hivi wapo na sio wanawake tua hata wanaume pia wapo.
Na kuhusu utundu sio kiss nzuri na hizo blah blah ni kwasababu umempenda.
Na sauti huenda haikua nzuri ni vilw tu ulikua na nyege mshindo.
Hakuna mapenzi hapo, yaani dogo awe na ww ushafika jioni tayari, subiri akutengeneze kwanza then akupige tukio.
Na enyi wanaume hamtakiwi kua caring sana kwa wake zenu, huwa wanakosa akili ukiwajali sana.
Kuna mwenzio jirani yangu aliacha mume na watoto saba akaenda ishi na jamaa mwenye kazi nzuri na maisha mazuri Sana kwa alivyoona yeye, wakabahatika mtoto mmoja kumbe jamaa anangoma, mtoto kanusurika yeye kaukwaa jamaa kafa karithisha kila kitu mtoto, mtoto kakua kajua habari yote maana anaelewana na ndugu zake kamchukia mama kwa alichowafanyia ndugu zake, mume alihangaika na wanae wamekua wanamaisha ya kawaida na baba kafariki mida tu,, ati karudi kwake, hakuna hata mtoto anayemjali na ana 70yrs na kitu, hakuna anayemjali hakuna mtoto mmoja tu ndio Labda anamwangalia angalia, huyu mdogo kamwambia kabisa huna kitu hapa wanao wasije dai lolote, huruma na mtaa mzima wanajua hilo. Unapokwenda sipo baki njia kuu.But God is full of Mercy dear. This one I believe dear. I made a mistake and I didn't see it come. And here I am now deep in love.
Mess ya nyokoo.. kwani Hadi unazakishwa watoto wanne uliwahi kumjua??? Si umemuoja juzii mwanzoni ulikuwa unaishia vipi??? Usiwe kengeeAsante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Kwa akili zako Mumeo atakuruhusu uwachukue watoto??? Huyo jamaa ni fala akubali kulea watoto wanne... una matatizo ya akili dada nenda milembeUkweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Anastahili "Pole..Nakupa pole pole, pole, pole, pole, pole, pole na wengine pia watakuja kukuongezea pole
ila pole tu
🤣🤣🤣Halafu mkipumzishwa kwa amani mnaanza ooh wanaume wakatili.
Hii hata Kama ni story ya uongo lakini hii tabia ipo kwa wengi na wengine tupo nao humu so meseji imewafikia acha watu tutiririke,Kuna tatizo kubwa katika kufikiri na kudadisi yaani mtu analeta story ya uongo halafu watu wanatiririka nayo.Ndiyo maana serikali haipati tabu kutupelekesha na vitu vya kipumbavu.
Mental disorder...Kama ni ukweli wewe sio mzima na kama unapika chai zako za nanenane Leo hata kuwaza upuuzi wa kuanziasha uzi kama huu pia ni dalili za mental disorder.
Kwanza wewe ni ke fake , categorically here u have been used here as an agent to fix someone's mind , uko pretty sure Kwa story hii uchawa wako utafanikiwaHabarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.