Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Kuna uwezekano mkubwa wa kuwapteza wanaume wote kwa wakati mmoja
Gharama ya kumpoteza husband angalau kidogo Ila gharama ya kumpoteza Kijana nawaza nitakuwa chizi Mimi I just can't imagine
 
Pole sana... achana nae japo it's hard najua... utaumia ila utaiponya ndoa yako.. taratibu tu utazoea.. hata kama waume zetu wanacheat ila hatuwezi shindana nao.
Asante dear. Nitafanyia kazi hili dear.
 
Unamshangaa kwa utaahira wake kisha na wewe unampa ushauri wa kitaahira! Tofauti yenu nini sasa??
tofauti yetu ni kuwa nimemwambia kile anachotaka kusikia na anapenda iwe hivyo ila me najua ni UJINGA.
 
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake. Itoshe kusema Mimi ningekuwa huuyo kijana wako, siku ukiniambia tu nakupiga chini. Wewe n mwanamke anayeongozwa na hisia si akilia
I said this to my heart Mara nyingi Sana but still sauti inaniambia emoj Maisha Ni Sasa. Hili ndio naoga kumwambia maana naogopa ataniacha.
 
Aisee

Wewe dada sitamani kukuhukumu as sijakamilika ila unavunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe.

Hao watoto wako wanne watateseka na ndoa utaikosa na kijana utamkosa

Nimeumia

Pls achana na huyo kijana
Asante kwa ushauri dear nitalifanyia kazi. Ukweli Ni kwamba sikuwahi kuwaza Ipo Siku itanitokea hili.
 
MREJESHO UPOJE HUJAFANYA TUKIO LA KUMFUMANIA MUMEO ILI UANZISHE VARANGATI LA KUWA NA KIJANA BILA BUGUDHA MBONA KAZI NDOGO...

MTAFUTE RAFIKI YAKO AJITONGOZESHE KWA MUME WAKO TENGEZA TUKIO LA KUMFUMANIA BAADA YA HAPO USIKUBALI KUSAMEHE KABISA FUNGASHA SEPA UTAKUJA KUNITAFUTA KIJANA ATAJITOMBEA KAMA MPYA VILE .

ILA DHAMBI YA KUSEMA UONGO MUULIZE YUDA ESKARIOTE Emoj
 
Muambie kuwa umeolewa na unawatoto wanne uone kama atakubali kukuoa au la .Yeye anhisi anadate na mama wamtoto mmoja kumbe si kweli
 
Hii ni chai kama chai zingine tu
 
Sijui niseme Nini,
Ila nnachokuomba mtoa mada,
Hisia zisiitawale sana akili yako,

Kumpoteza mume wa watoto kwa ajili ya kijana bachelor Ni wrong move.

Kama anakuridhisha kwny bed,
Nashaur ibaki hivyo hivyo TU, mengine achana nayo
 
Nyie ndiyo mnafanya wengine tufikirie mara mbili mbili linapokuja swala la kuoa, lakini zaidi sana mnaliharibu sana hili taifa, linajaa watoto wenye majeraha ya kihisia na baadaye kupoteza muelekeo kwa sababu ya upumbavu wenu kama huu!

Bila aibu, unakenua meno hapa na kuonyesha namna ulivyo mpumbavu, ".... My husband loves me and takes a good care of us..." Pumbaaaaavu kabisa...
 
Hata huyo nae utakuja kumwacha kama unavyotaka kumwacha huyo ulifunga naye ndoa. Uzinzi huchafua nafsi.
 
Ndo maana tunasema Wanawake kuchepuka hamuwezi,

Mkichepuka mnazamia Moja kwa moja.
 
Mimi sio mtabiri ila kuna jambo baya litakuja kukupata muda sio mrefu. Hio starehe yako ni ya muda mfupi tu.
 
Kusema kweli mume wangu nilimpenda from my heart dear. Sikuwa desperate na ndoa kabisa since I was still young, so alinipenda nikampenda pia then ndoa ikafuata, Sijawahi kumcheat na sikuwahi kuwaza hili litatokea untill I met this young man ndio Sasa nimeshikika.
 
Uyo kija mwambie ukweli umeolewa,
Ukificha itakufanya uishi kwa wasiwasi,
Matokeo Yake utakamatwa na mumeo,
 
Naona umewaua kwa maneno watoto wako wa 3 na mmeo sasa kafanye kweli kawaue live ubaki na mmoja alafu ukaolewe na huyo mwamba

Usikubali kumpoteza, nenda kawauq hao wanao kutia kauzibe ubaki na bby wako mpya
 
Asante kwa ushauri mzuri dear. Nitalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…