Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Mbona nilishasema elimu, pesa na ajira zikiwa kwa mwanamke heshima hukosa nafasi. Hebu ona eti anaona ndoa yake ni bei rahisi kuliko kijana?

Wanaume mnaotafuta kuoa wanawake wenye ajira ati "mtasaidiana maisha" ukweli hamtasaidika lolote ila pia mtadharauliwa na kuishi kwa fedhea kuu.

You can imagine jinsi anamdharau mumewe na yuko tayari kumuacha na watoto sekunde yeyote kwa ajili ya mwanaume mwingine.


Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi
Inasikitisha Sana,
Ndo matokeo ya kutaka wanawake nap wale kwa jasho
 
Lengo nataka tu niwe nae till my last breath

Tatizo uliruka stage ya kuwa na viboyfriend ukarukia ndoa lakini ngoja nikusanue,hyo sentensi uliyoiandika hapo ni kitu ambacho hakiwezekani
 
Stop lust for sex, accept what you have. I can assure you, your lad's love will not be the same once he knows you are a sugar mummy of 4.
You may continue to cheat on your hubby but dont abandon him. It seems prostitution is in your blood but dont divorce him.
 
Kwa Hali hii sioi tn ngoja niwe mpole maana naweza pata kesi isiyo tarajiwa hapa😂😂
 
Daily Huwa Nina waeleza vijana wenzangu hakuna mwanamke asiye liwa nje ya mahusiano yake iwe ni mahusiano ya ndoa Au Boyfriend girlfriend

Yaani ukiona manzi katulia ha- cheat usijipe guarantee kuwa atakuwa hivyo Bali Ina kupasa utambue kuwa Hilo ni suala la muda tu , wakati ukifika utajua haujui Hilo haijalishi wewe ni mwema na muungwana Kwa kiasi Gani kwake , Lazima ata kunyoosha tu

Hawa ndio wanawake bwana , Sifa Yao kubwa ya Tabia Yao ni kupatwa na mabadiliko kama rangi ya kinyonga
Sahii kabisa
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Tuwasiliane dear 0769 977906. achana na hao walamba lips
 
Mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe. Siku zote mnapigiwa kelele hamsikii wanaume wa nje uwapenda wanawake waliolewa kwa lengo la kupata cheap ngono.Wakishaachika na wa nje ukimbia nani abebe mzigo kwako alifata mteremko wa ngono.
Hawaolewagi hili. Na hata uwaambie Mara 1000 wala hawatakuelewa wao wanajiona penzini. Ila Hawa viumbe sijui wakoje Miki katika kuteleza kwangu nilitembeaga na mke WA mtu siku Moja nikamtest vipi muache mumeo tusepe wote eeeh si akaafiki wazo langu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] nikasema hapana kwa kweli sitakaa nione na vioo nikamfungia. Imagine mtu Ana watoto 2 hata 10 years hawajafika ila yuko tayari kuwakimbia kisa penzi jipya[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787].
 

Tatizo la ndoa yako lilianzia hapa

Kwa maelezo ya hapa wewe ni kama kiongozi wa familia na umechukua nafasi ya shemeji ya kuwa kichwa

Inaonesha wewe ni provider mkubwa na decision maker mkubwa wa familia

Inaonesha hata shem unasema yuko so royal sababu ya support yako kubwa unayompa ila ungekuwa mother house labda asingekuwa hivyo sababu tabia ya mwanaume au mwanamke halisi unaijua akiwa na fedha.

Inawezekana hata huo uprovider/kuhoga unaufanya kwa kijana nae anaona mseleleko ndo maana anataka kutangaza ndoa mapema.

Wanaume wajifunze kwenyw hili

Be a woman

Let a man be a man na huyo dogo sorry nimemwita dogo sababu ni dogo mpe true colour yako, mpige kizinga za 3m , mwambie una watoto wanne na unandoa akibaki basi rudi hapa.

Mme wako ndo mtu pekee anaweza kukupa furaha na hata kama anamapungufu basi mwelekeze kwa upendo. WATOTO HAWATAKUJA KUKUSAMEHE KAMA UTAWAACHA SABABU YA HICHO KIBENTEN

AT THIS POINT BE LOGICAL AND WEKA EMOTION PEMBENI

KAMA HUTONISIKIA BASI ANGUKA MWENYEWE ILA AKUONEA HURUMA SANA MWANAMKE MWENZANGU.
 
Tumeelewana hapa sasa

Sisi tunahitaji kuongozwa
ANGEKATALIWA KWENDA HUKO KWENYE HIYO PROJECT HIYO NDOA INGEKUWAJE? JE KOSA NI MUME KUMRUHUSU AU MBONA SIJAONA MUME ALIPOKOSEA HADI KUSTAHILI HAYA TUNAYOYASHUHUDIA...I STILL NOT UNDERSTANDING KICHWA KICHWA KICHWA
 
Hivi mwanamke wa hivi kweli anasubiri Nini kufa

I swore she must be in gravel immediately
 
Kwa ulivyojieleza it is obvious you subscribe to tigo, this is what has made you go crazy on your b/friend love. That is what you dub (Good at jigjig)
 
Sijui niseme Nini,
Ila nnachokuomba mtoa mada,
Hisia zisiitawale sana akili yako,

Kumpoteza mume wa watoto kwa ajili ya kijana bachelor Ni wrong move.

Kama anakuridhisha kwny bed,
Nashaur ibaki hivyo hivyo TU, mengine achana nayo
hajifunzi kwako kuu mama j hawezi fanya utelekeze familiaa... genye zibaki kuwa genye
 
Ila huyu mwanaume naye taahira yaani mwanamke mwenye watoto zaidi ya mmoja na anaishi na mumewe is very simple kimfahamu

Anashindwaje daah wanaume tunafeli wapi
 
Aaaahkinipenda mama inatoshaa, Aaaahkinipenda baba inatoshaa! Kuna watu wajinga sana dunia hii khaa
 
ANGEKATALIWA KWENDA HUKO KWENYE HIYO PROJECT HIYO NDOA INGEKUWAJE? JE KOSA NI MUME KUMRUHUSU AU MBONA SIJAONA MUME ALIPOKOSEA HADI KUSTAHILI HAYA TUNAYOYASHUHUDIA...I STILL NOT UNDERSTANDING KICHWA KICHWA KICHWA
Soma nyuzi zake za nyuma utagundua mdada ni mpambaanji kuliko mwanaume na ndo maana anaanza na kugongewa nje.

Seems jamaa hajasimama vzr kwa nafasi yake huo ndo ukweli mchungu.

Sisi wanawake ni wasaidizi hatupaswi kuwa main na ikiwa main basi iwe kwa muda mfupi tu na mwanaume ukisaidiwa basi pambana usimame kuondoa dependency

Dada kampambania sana mumewe kwa kumpa mitaji mara nyingi na kumsimamisha kibiashara ila sababu ni nature basi natural love imeondoka zimeanza hizi drama.
 
Daily Huwa Nina waeleza vijana wenzangu hakuna mwanamke asiye liwa nje ya mahusiano yake iwe ni mahusiano ya ndoa Au Boyfriend girlfriend

Yaani ukiona manzi katulia ha- cheat usijipe guarantee kuwa atakuwa hivyo Bali Ina kupasa utambue kuwa Hilo ni suala la muda tu , wakati ukifika utajua haujui Hilo haijalishi wewe ni mwema na muungwana Kwa kiasi Gani kwake , Lazima ata kunyoosha tu

Hawa ndio wanawake bwana , Sifa Yao kubwa ya Tabia Yao ni kupatwa na mabadiliko kama rangi ya kinyonga
We nae bure kabisa eti hakuna Mwanamke asiyeliwa umewachunguza wangapi kumbuka kwenye wabaya na Wema wapo.
 
Mtu umeshika dini unavua chupi na kukatika kiuno kwa mwanaume ambae si mumeo? Hiyo labda dini ya shetani.
Ndio maana JokaKuu huwa anasisitiza sana watu waoe mabikira. Mwanamke alietobolewa tobolewa kabla ya kuolewa ngumu sana kufunga miguu yake for long hata akiolewa.

..wewe unanitafutia kesi tu.

..sijawahi kutoa ushauri kama huo.
 
Back
Top Bottom