Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

kwanza wanawake huwa hatuwaelewi sasa apo anasema eti kasikia voice note tu akadata sasa mim sjui nikuambiaje lkn ww unaonekana kabis uliwahi kuolewa na hukukubali kuwa mke wa mume mmoja acha ujinga rudi kwa mumeo
 
Eti umekazana anataka kunioa,anataka kunipeleka kwao unawajua Wanaume vizuri mpendwa?
Dear nawajua Sana dear. Mimi sio mtu rahisi wa kupelekwa kirahisi dear, I know how to play my cards very well dear, ndo ilisababishia kupata ndoa ya kanisani at a tender age pasipo hata ku sweat. Huyu Kijana anamaanisha kutoka moyoni dear tuende kwao na Ni muoaji kabisa,only that Niko njia panda and I feel like the world is not fair dear[emoji26]
 
moyo ni kitu cha kijinga sana nakumbuka niliwahii kupenda mke wa mtu nikawa sielewi nikataka kuishi nae japo kuwa ana watoto wa 2, nikaja kuwaza nikachukua maamuzi ya kwenda mbali kabisa ndo ilikuwa pona yangu
I am thinking like na Mimi nichukue hii mbinu yako. Huenda ikawa pona yangu, but but...
 
Ila mapenzi yanajua kudhalilisha [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
Pole mwaya ila mwambie ukweli mapema usije ukakosa mwana na maji ya mtoto baadae na katika yote angalia furaha yako ilipo
 
Neno Ningejua huja mwisho wa safari,Sio kila kitu kinachopenda Moyo na akili yako ni lazima ufate au ukubaliane nacho maamuzi ni yako bibie fanya vile unapenda.
 
Inasikitisha Sana,
Ndo matokeo ya kutaka wanawake nap wale kwa jasho
Sure wakishapata vipato hawatawaliki, na kutombewa nje nje wanajua hata wakiachwa wana vijimshahara vyao. Tena kama huyu akipewa talaka ndio kwanza anashangilia.

Wanaume wapenda vitonga, WAJIPANGE KUTOMBEWA NA KUDHARAULIWA yote kisa "kusaidiana maisha"
 
Hapa mwanamke, matakataka tu..
 
Siku ya hukumu, utasimama na kujitetea kwa kumtuhumu shetani. Atakuuliza ulisikia sauti yangu, utajibu hapana. Uliniona kwa macho yako? Utamjibu hapana. Kulikuwepo vitabu vya dini vya kukuongoza katika imani yako? Utamjibu ndio. Atakuuliza kwa nini hukuvifata? Utaanza kujing'ata ng'ata.

Hapo ndo utapewa kamtama kamoko ka kukusindikiza kwenye makazi ya kudumu.

Anyway, I am far from perfect. But if I were you I would leave that town and go back to my family. The value of your family is equivalent to ypur life. Better think twice.
 
Tanzania ya mama Samia hiyoo... HOVYO SANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…