Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Wewe ulipanga kucheat toka mwanzo na pengine ulimchoka mume wako,
Kwa nini first date ulivua Pete ya ndoa?
Kwa nini ulimwambia uko single kama kweli hukuwa na nia ya kucheat?
Kwa nini ulimweleza kuwa una mtoto mmoja?
Kumwelewa mwanamke ni kazi sana,kumbuka pia mchuma janga
Ushauri wangu achana na mpango wako wa kuolewa mara ya pili kwani majuto yake yatakuwa makubwa sana,kuna leo na kesho
Nasikitika sana una miaka 32 lakini unahangaika na mapenzi kama mtoto aliyeanza mapenzi jana..
 
Kwani huyo yuko single si ni mke,maamuzi ni yake afate nyegezi au utulivu kwenye ndoa yake
Kwa jamaa sii anajua kuwa demu yupo single na mtoto mmoja. Wee unadhani akijua ana watoto wanne sii jamaa atasitisha hizo story za ndoa yeyey itakuwa kula utamu wa mbususu
 
Kwa jamaa sii anajua kuwa demu yupo single na mtoto mmoja. Wee unadhani akijua ana watoto wanne sii jamaa atasitisha hizo story za ndoa yeyey itakuwa kula utamu wa mbususu
yani akitaka aolewe tu siku anawaleta wotee vuup wakiwa ndani ya ndoa 😀 😀
 
Ndugu WANAUME,,,,,Hizi ndio sababu zinazofanya tuseme MKE mchepukaji hatakiwi kusamehewa MILELE...,,,Nyie Ving'ast mnaosamehe Wake zenu mkihisi ni bahati mbaya,,,,hali ndio huwa kama hivi nyuma ya pazia.

Ndugu mleta uzi usiidharau NAZI,,, kwasababu EMBE ni tunda la Msimu tu.....Yaani kucheat kwa mume wako umeona haitoshi,,,unataka uombe na talaka kabisa..

Hakika Mtu isipomfaa akili yake, basi utamdhuru Ujinga wake.
 
Watoto wanne still 32 hiyo ni chai
Mm ni daktari na leo nimetoka kumfanyia C/S dada mmoja mimba yake ilikua ya sita na ana miaka 31. Mimba ya kwanza alipata 2010, ya pili 2012, ya tatu 2016, ya nne, 2018, ya tano 2020, ya sita ndio hii tulioifungua leo. Nimeona nimfunge kizazi kabisa maana alikuja na mishono mitatu na huu niliouweka ni wa nne.

Kwahyo huyu dada kama ana 32 na ana watoto wanne siwezi kumshangaa. Kuna wanawake wanawahi sana kuzaa
 
wewe ni tatizo, kwani hujui kama umeolewa, mauaji mengine huwa yanasababishwa na wenye akili kama zako, halafu mnalaumu wanaume, na ukiendelea na tabia hiyo, Mimi nakuombea UFUMANIWE, UCHAPWE BAKORA NA VITUO VYA TV VITANGAZE TUKIO LAKO, eti voice!!
 
I am thinking like na Mimi nichukue hii mbinu yako. Huenda ikawa pona yangu, but but...
fanya juu chini mwambie ukweli ila sio saizi vumilia kidogo kwanza ila hakikisha una mwambia na akikuuliza kwanini uli mdanganya mwabie nilikupenda ndo maana sikutaka kukupoteza hata kidogo. lazima atakuelewa tu
 
Kwa jamaa sii anajua kuwa demu yupo single na mtoto mmoja. Wee unadhani akijua ana watoto wanne sii jamaa atasitisha hizo story za ndoa yeyey itakuwa kula utamu wa mbususu
Atajua mwenyewe ndoa siku hizi ni za kusaka na manati yeye anayo anataka kuachwa kwa lazima🤷🏼‍♀️
 
Atajua mwenyewe ndoa siku hizi ni za kusaka na manati yeye anayo anataka kuachwa kwa lazima🤷🏼‍♀️
Wacheni uwongo harusi zinafungwa kila wikend watu wanademka na kugeggeduana kwenye mahall.
 
Wacheni uwongo harusi zinafungwa kila wikend watu wanademka na kugeggeduana kwenye mahall.
Kuna ndoa na harusi kuna utofauti hapo kwa sasa kupata Mwanaume anayejielewa ni bahati kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…