Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Asieee sidhani kama ni hivyoAcheni roho mbaya....wanaume wanataka kuoa mnamounea gele mwenzenu tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asieee sidhani kama ni hivyoAcheni roho mbaya....wanaume wanataka kuoa mnamounea gele mwenzenu tuu.
Pole kpnz changu!Yeah,nimeumia kimtindo EB!
Kwa nini? Wapo ambao wanataka kuoa single mazaAsieee sidhani kama ni hivyo
Kwa i papa ya watoto wanne ni tofauti na ya mtoto mmoja?Kijana nae ni wamchongo tu, Papa imeshapitisha 4 kids yet ukamdanganya una mtoto mmoja na akaamini?
Basi kijana ni mshamba
Kwani huyo yuko single si ni mke,maamuzi ni yake afate nyegezi au utulivu kwenye ndoa yakeKwa nini? Wapo ambao wanataka kuoa single maza
Kwa jamaa sii anajua kuwa demu yupo single na mtoto mmoja. Wee unadhani akijua ana watoto wanne sii jamaa atasitisha hizo story za ndoa yeyey itakuwa kula utamu wa mbususuKwani huyo yuko single si ni mke,maamuzi ni yake afate nyegezi au utulivu kwenye ndoa yake
yani akitaka aolewe tu siku anawaleta wotee vuup wakiwa ndani ya ndoa 😀 😀Kwa jamaa sii anajua kuwa demu yupo single na mtoto mmoja. Wee unadhani akijua ana watoto wanne sii jamaa atasitisha hizo story za ndoa yeyey itakuwa kula utamu wa mbususu
Ndugu WANAUME,,,,,Hizi ndio sababu zinazofanya tuseme MKE mchepukaji hatakiwi kusamehewa MILELE...,,,Nyie Ving'ast mnaosamehe Wake zenu mkihisi ni bahati mbaya,,,,hali ndio huwa kama hivi nyuma ya pazia.Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana
Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana.
Mm ni daktari na leo nimetoka kumfanyia C/S dada mmoja mimba yake ilikua ya sita na ana miaka 31. Mimba ya kwanza alipata 2010, ya pili 2012, ya tatu 2016, ya nne, 2018, ya tano 2020, ya sita ndio hii tulioifungua leo. Nimeona nimfunge kizazi kabisa maana alikuja na mishono mitatu na huu niliouweka ni wa nne.Watoto wanne still 32 hiyo ni chai
wewe ni tatizo, kwani hujui kama umeolewa, mauaji mengine huwa yanasababishwa na wenye akili kama zako, halafu mnalaumu wanaume, na ukiendelea na tabia hiyo, Mimi nakuombea UFUMANIWE, UCHAPWE BAKORA NA VITUO VYA TV VITANGAZE TUKIO LAKO, eti voice!!Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.
Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.
Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.
Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.
Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.
His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].
For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...
He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.
Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.
Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.
Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .
Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].
Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?
Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.
Asanteni
fanya juu chini mwambie ukweli ila sio saizi vumilia kidogo kwanza ila hakikisha una mwambia na akikuuliza kwanini uli mdanganya mwabie nilikupenda ndo maana sikutaka kukupoteza hata kidogo. lazima atakuelewa tuI am thinking like na Mimi nichukue hii mbinu yako. Huenda ikawa pona yangu, but but...
Atajua mwenyewe ndoa siku hizi ni za kusaka na manati yeye anayo anataka kuachwa kwa lazima🤷🏼♀️Kwa jamaa sii anajua kuwa demu yupo single na mtoto mmoja. Wee unadhani akijua ana watoto wanne sii jamaa atasitisha hizo story za ndoa yeyey itakuwa kula utamu wa mbususu
Yeye amwambie tuu kuwa nimependa de libolo lko tuendelee kuoeana utamu basi. Jamaa hawezi kataa hiyo ofa.yani akitaka aolewe tu siku anawaleta wotee vuup wakiwa ndani ya ndoa 😀 😀
Amwambie hivyo ili kitanda kizae haramYeye amwambie tuu kuwa nimependa de libolo lko tuendelee kuoeana utamu basi. Jamaa hawezi kataa hiyo ofa.
Wacheni uwongo harusi zinafungwa kila wikend watu wanademka na kugeggeduana kwenye mahall.Atajua mwenyewe ndoa siku hizi ni za kusaka na manati yeye anayo anataka kuachwa kwa lazima🤷🏼♀️
Unashangaa nini, kama ameolewa akiwa 21 au 22 hawezi kupata watoto wanne?Watoto wanne still 32 hiyo ni chai
Eeeh soo unamshauri kwamba kijanaa anyunyuzie mbolea kabisaa alafu mume abambikiwe mtoto😲😲😲😲Amwambie hivyo ili kitanda kizae haram
Kuna ndoa na harusi kuna utofauti hapo kwa sasa kupata Mwanaume anayejielewa ni bahati kubwaWacheni uwongo harusi zinafungwa kila wikend watu wanademka na kugeggeduana kwenye mahall.