Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Yani wanaume tuliooa tukiona hii post na kwa jinsi ulivyo msifia mmeo inatuumiza sana, hapo mpaka na imagine kama sasa ndio ungekuwa mke wangu halafu sijui aisee.
"It hurt so good"

Kaa na mme wako sisi wanaume tunaweza cheat lakini wanawake mki cheat tunaumia zaidi.
 
Mbona nilishasema elimu, pesa na ajira zikiwa kwa mwanamke heshima hukosa nafasi. Hebu ona eti anaona ndoa yake ni bei rahisi kuliko kijana?

Wanaume mnaotafuta kuoa wanawake wenye ajira ati "mtasaidiana maisha" ukweli hamtasaidika lolote ila pia mtadharauliwa na kuishi kwa fedhea kuu.

You can imagine jinsi anamdharau mumewe na yuko tayari kumuacha na watoto sekunde yeyote kwa ajili ya mwanaume mwingine.

Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

 
Dah naipenda jf kwa hizi story za kugegedana...yaani full raha😂😂😂😂
Duh so hawa tall guys realy do fu.ck alot of ladies eeh au unasemaje Kelsea

Wee tulizana na ndoa yako. Watoto wanne ni wengi na akijua hawezi kukubali kukuoa. Hapa chakufanya ni just come clean mwambie mie nimeolewa we just having fun basi.
 
Uliwahi ona wapi Mwanaume anaoa mama wa watoto wanne na yeye hana hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mwanamke akiacha kutumia moyo akili zitamrudia alafu atajiona mjinga sanaa
 
Yaani kila nikianza kupata fikra za kutaka kuoa, nakuta kisa hapa JF ambacho kinanikumbusha acah ufala kijana hawa wanawake ni wakuwagegeda tuu sio kuoa na kuweka ndani.
 
Mnapata raha gani kuja kuandika story za kutunga humu. This is a typical lie. Uongo kabisa. Hakuna reality katika hii story em fikiri upya andika tena.

Msipoteze muda na ukute ni dume limekaa likaandika hii takataka...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walahii... Mtu afikiria kukimbia wane wanne khaa hizi genyee zikizidii ni balaa
 
Daily Huwa Nina waeleza vijana wenzangu hakuna mwanamke asiye liwa nje ya mahusiano yake iwe ni mahusiano ya ndoa Au Boyfriend girlfriend

Yaani ukiona manzi katulia ha- cheat usijipe guarantee kuwa atakuwa hivyo Bali Ina kupasa utambue kuwa Hilo ni suala la muda tu , wakati ukifika utajua haujui Hilo haijalishi wewe ni mwema na muungwana Kwa kiasi Gani kwake , Lazima ata kunyoosha tu

Hawa ndio wanawake bwana , Sifa Yao kubwa ya Tabia Yao ni kupatwa na mabadiliko kama rangi ya kinyonga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…