Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Mi sikutukani wala ushauri wangu omba taraka kwa mumeo uolewe na kijana usikubali kabisa kumpoteza kijana asee
 
Kwanza hongera kwa kumcheat Mume wako mama wa watoto wa nne. Kuna kitu hawa married women hamuelewi sisi wanaume kitendo cha kumvua nguo mke wa mtu na kumlala yani unamdharau sana yule mwanamke japokuwa una enjoy nae tendo la ndoa ila una mdharau kupita maelezo though kwenye hii case wewe haupo sababu umemdanganya hujaolewa. Sina uhakika sana kama huyo kijana anakupenda ila huenda ana enjoy sana mkiwa kitandani. Sikushauri uvunje ndoa yako sababu hamta enda mbali sana kimapenzi ni bora umueleze ukweli status yako halafu uendelee kumsaliti mume wako ila juwa siku ya mwisho itakula kwako utaachwa na watoto wa nne na kijana atalaza.
 
Vitu vingi huwezi kuona umuhimu wake hadi uvipoteze , just endelea na kijana ila jiandae kupoteza kwote kuwili. Huyo kijana hajakupenda wewe kama wewe so jiandae kwa lolote atakapojua ukweli.
 
Kupanga ni kuchagua we amua tu lolote utapambana nalo tu. Peace of mind ni kitu muhimu sana.
 

Nadhani unaifahamu ile methali inayosema “MSHIKA MBILI MOJA HUMPONYOKA”

Na pia Najua unafahamu katika Biblia imeandikwa “HUWEZI KUTUMIKIA MABWANA WAWILI”

….Hofu ya Mungu Ikutawale.

Akili Kumkichwa!

Uwe na siku njema.
 
A very special kuwanyoko for you.

Ndo maana mnakatwa katwa na mashoka Kama kuni.
 
Malaya anapoomba ushauri, sisi malaya wenzio unajua kabisa tutakushauri nini
 
Ila ww dada unaushauri mzuri Sana,hatanyuzi zako zinamafunzo Sana,sio muwambangoma huvutia kwake,hua unaandika reality of life,ubarikiwe Sana.
 
Mfate huyu mtoa mada,pm,umshauri nnaimani atakusikiliza Una nguvu ya counselling inside you.
 
Vunja ndoa kisha nenda
 
yani umewakana watoto na mume wako ili tu utombwe haahahaha ukweli ni huu uyo mwamba hakupendi kama anakupenda mwambie ukweli una watoto wa nne uone kama atakusogelea wewe na nampa big up mumeo at 32 kashafunga goli 4 uhangaike nazo aya vunja ndoa na uchukue watoto wako wanne kaishi na jamaa kama itapita ata siku moja atavumilia.
 
Usiseme wanawake wajinga wapumbafu ,sema watu maana hata wanaume wapo kibao, sema wake zao wakijua huwa wanawaka kiisha wanapoa na kusonga mbele, wanaume ndiyo hupiga kelele na kuona si jambo la kawaida, hivyo toa ushauri tu kwa huyo mama wanne.
Madhara ya mwanamke mwenye watoto kuolewa sio sawa na ya mwanaume kuoa,sisi by nature ni polygomous na ndoa inabaki stable,huyu kenge jike akiolewa tu watoto watapata shida sana
 
Ila ww dada unaushauri mzuri Sana,hatanyuzi zako zinamafunzo Sana,sio muwambangoma huvutia kwake,hua unaandika reality of life,ubarikiwe Sana.
Asante sana,nimepitia mengi magumu na bado napitia....Ivo ninachoshauri ni maisha yenyewe ninayoishi
 
Unamuona kijana ni lulu kuliko mume?.

Hebu muache mume uje uone shughuli yake!

Kwanza ukimuacha huyo mume kwa uzembe wa penzi la huyo kijana, huyo kijana one day atakuja kukuacha tu kwa sababu atakuona wewe ni laghai tapeli, umemcheat mumeo na umemdanganya yeye, atakuona liability tu!.

Halafu una 32 now, Soon utakuwa 40, I guarantee you, urembo wako una miaka 7 tu ya kutamba, huyo kijana akigundua ulimdanganya atakuwa amepata na sababu nyingine ya kukuacha kwa sababu hata uzuri wako utakuwa umechuja.

Na mumeo akigundua unamcheat, ataanza kufikiri kuwa hata hao wanae pengine si wake, nakuhakikishia life will never be the same again.

Nampa pole mumeo!
 
So decided to cheat on your children and your husband too just for your sexual mongering with a stranger!

Either way, you can not have both!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…