Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Aisee... Mtihani mzito kweli kweli huo. Fata moyo wako na furaha yako inapokuelekezea...lakini ukijua kuwa umtendei haki mumeo ambaye Hana kasoro yoyote Kama ulivyosema.
 
Mie mbona ndio national anthem yangu...hamnaga mbususu yako peke yako. Ukipewa ipelekee moto maana ukiondoka mwengine nae anakuja chovya asali
Basi hutokaa ujue nini maana ya kupenda.
 
Nakushauri kitu kimoja tu! Wewe ni li mwanamke lipumbavu takataka kabisa! Kwa nini unamharibia maisha yake huyo kijana wewe kijeba? Ubaya mmeo huwa hakupigi sawasawa ndiyo maana umepagawa! Utapewa talaka halafu huyo dogo atakuja kugundua kwamba una watoto 4 atakutema!! Hapo ndipo utalia na kusaga meno!
 
Umeongea na kumaliza kila kitu. God bleess u
 
Wanaume wenzangu endeleeni kuoa eeeh!!!!mi nipo hapa nasafisha viatu
 
Basi hutokaa ujue nini maana ya kupenda.
Kupenda hakuondoi fact ya kwamba binadamu sio wakamilifu na ukweli alishasema rais mstaaf. Vijana wanapataka wazee wanapataka.
Unaweza mpenda mwanamke lakini tambua kuwa anaweza chepuka, huo ni uninadamu. Sie sio malaika.
 
Mpe mumeo talaka ufaidi na kijana.Ukitekeleza hili uje utujuze muendelezo wa mahaba Moto Moto na Serengeti boy
 
Haya my dearest, fuata hiyo sauti,
Maisha ni yako, acha nipambane na yangu
 
Rule no 1: usivunje ndoa. Rule no 2: usivunje ndoa. How...
andika list ya mazuri ya Mumeo...
Angalia jinsi Mungu amekubariki watoto wazuri..
Tulia then jitafakari Kama Una weza uka afford kuishi bila wanao na Baba Yao.
Back to kijana...enjoy kampan yake huku ukiangalia negativity zake...kunasiku utagundua hayupo worth it uki compare na Mumeo...then utamuacha Kwa Amani.
Penzi jipya tamuuu...lakini kwenye maisha si kila kitu unaweza ukakipata...
Mtaka vyote Kwa pupa...
 

Kwa mwandiko huu kma ni kweli, bas mme wake atakuwa tayari anajua au anahisi kitu kinaendelea kwako na anaendelea na uchunguzi ili kupata uhakika. Haiwezekani kwa huu mwandiko mme asigundue umebadilika, na hata huyo mvulana wako naye ni fala sana, mwanamke wa watoto wa4 anaonekana tuu kwenye maumbile labda naye ni mwanafunzi.

Subiri utawakosa wote, mme na kijana.. na unaweza pia kukoswa wewe mwenyewe kwenye hii dunia!! Unaweza kmponza na huyo kijana wako atoweke kwenye uso wa dunia kwa upumbavu wako mtu mmoja.. watoto wako watabaki Yatima, wa kike watatumika vibaya sana kwa maisha magumu ya uyatima na wa kiume wanaweza kutumiwa vibaya zaidi hasa kwa huko mijini. Nadhani umenielewa mpumbavu mkubwa wewe!
 

Huu mbona km mwandiko wa my wife? Nitaua jitu wallah. [emoji35]
 
Mwanamke kama huyu unakuta mumuwe ana tumia lile tundu la kawaida alafu mchepuko anatumia yote hasa 071 , ana nogewa kufumuliwa marinda .Sema ww mama ni kichaa watoto 4 bado una nogewa na vihisia vya kipumbavu. Shuwain
 
Tatizo unajifikiria wewe zaidi kuliko watoto wako na mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…