Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Kwamba unamuunga mkono!!!!
Aiseee dunia imeisha SASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi umeshika kasi, wengine wanacomment zaid ya mara tano jinsi gani unaibua hisia,

Uzinzi unapigiwa sana chepuo kwa jinsi zote mbili, wapo wanaohisi kwamba hiyo ni hulka yao ya tamaa na hivyo wanahaki ya kuwa polygamous, lkn wanasahau kwamba tamaa kaumbiwa mwanadamu.

Huenda hata zamani wanawake waliendelea kuchepuka lakn ikabaki siri, kwakua sisi hatunaga courage ya kukiri wazi wazi mbele ya jamii, mbali na kwa mashoga zetu.

Maisha ni mafupi na furaha yako haitengenezwi na mwanadamu, usiirudie ndoa yako kwasababu ya kumhurumia mumeo ila angalia faida utakayoipata kwasababu hata yy anayomengi anayoyafanya sirini ambayo ukiyajua hata lako linaweza kuwa dogo.

Ila fikiria, ili akuoe inabidi ujitenge mbali na wanao ili aendelee kufahamu kuwa unamtoto mmoja.

Pili, ukimuacha mumeo utaitambulisha vipi familia yako juu ya huyu mume mpya, hapo jawabu ni kuwa ni lazima upewe taraka ukitalikiwa inamaana watoto utaenda ishi nao kwa mumeo au utawaacha kwa baba yao?

Vipi huyo bwana Mpya akijua umemdanganya?

Vipi wanao, umejipanga kuwalea kwa mfumo upi? Utawaficha au kuwaweka wazi? Utawalea ukiwa mbali au moja kwa moja?

Baada ya kupata majawabu, olewa sasa,
 
Mimi nashangaa watu wanavyomtukana mtoa mada kwa sababu kachagua kinachompa furaha.
Hiki ni kitu cha kawaida na hakitokei kwa wanawake tu hata wanaume wanapenda kujipa furaha yao na kujiridhisha kwamba hawawezi kuridhika na mtu mmoja.

Ila mtoa post anapoielezea furaha yake wanamponda, badala ya kumshauri, nilitegemea kupata mbinu za kivita kutoka kwao ,lkn naona mtoa Post anashambuliwa .

Kwa Post hii, wenye wake zao roho zimauma humu.
 
Hivi mtu una watoto wanne umezaa na mumeo unaanza kufikiria kuhusu furaha yakoo ya kuridhishwa KINGONOO???? mume wake hamtesi wala kumnyanyasa anataka FURAHA GANI??

Sema wanawake hamjuagi mnataka ninii huwaga akili zenu zinawaza muda huuu ukiwa unakojozwaaa hufikirii nyumbani una watoto wanahitaji malezi ya mama...
 
Mleta mada naamini kama sio chai basi umeliwa jicho ndio linalo kuchanganya!
 
Sidhan km watoto ni justification ya mtu kutojali furaha yake, yeye ameelezea furaha yake.

Watoto wanalelewa na wataendelea kupata malezi ya wazazi kwa mfumo watakaokubaliana.

Mtu anapopata wazo la kuiacha ndoa yake, heri aiache mapema kuliko kujilazimisha hali inayoweza kuleta madhara mbeleni, anaweza kumuona mumewe Kama kikwazo cha yeye kuenjoy, sasa ukishakua kikwazo kwa mwenzako hiyo si ndoa kwasababu ndoa ni makubaliano ya watu wawili, anapoyavunja mmoja hiyo si ndoa
 
Huu ndio ushauri mzuri, lazima afate anachokipenda
The only problem huko anakotaka kwenda hatujui kama huyu mtu atampokea akijua ukweli wote kwa sasa anajua anamtoto mmoja na yuko single.
1. Akijua ana watoto wa 4 atamkubali?
2. Akijua amevunja ndoa yake halali hatohofia na yeye kuachwa mataa?
3. Hao watoto watalelewa wapi?

Vyakuiba siku zote huwa vitamu sababu pale akili inaenda ikiwaza moja tu, wakianza kuwaza ada, kodi na matunzo huo utamu utapungua mkuu.
 
Yani Mama aiche ndoa yake ya watoto wanne????? Sababu ya kijamaa alichokutanaa nacho eneo la kazii... kama wew ni mwanamke upo sahihi sana ila kama ni mwanaume jitafakari akili za kikee hizoo kama unafikiri unaweza amka tu siku ukatelekeza familia ya watoto wanne kisa furaha yako na kimwanaume flani una Mtatizo ya Akilii...
 
Hawa ndio kila siku wanalilia tuwe na mke mmoja.!!
Hell, NOOO!!
 
Ashki majnuni zinakusumbua tu.

Kwa hiyo unataka kuvunja ndoa kwa mikono yako, sio!
 
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote , tafakari vzr usije ukarudi hapa unali Lia kwa kukosa mume na kijana
 
Kupenda hakuondoi fact ya kwamba binadamu sio wakamilifu na ukweli alishasema rais mstaaf. Vijana wanapataka wazee wanapataka.
Unaweza mpenda mwanamke lakini tambua kuwa anaweza chepuka, huo ni uninadamu. Sie sio malaika.
Mbona pande zote zinachepuka? Sio upande 1 tuu
 
Mbona pande zote zinachepuka? Sio upande 1 tuu
Ndio pande zote zachepuka ndio raha ya dunia...yaani full kushare.
Ebu imagine dunia bili kushare mbususu na de libolo sii ingekuwa boring sana
 
Tulia na mume wako. Mtengeneze mume wako awe kama huyo kijana
 
Hivi si tumekubaliana mwanamke mchepukaji ni wa kufukuzwa humu ndani, sasa kwann yy bado umnamtetea aendelee kubaki 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…