Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
In all mapenzi hayashauriki, kila mtu aangalie benifit anayopata na furaha yakeYani Mama aiche ndoa yake ya watoto wanne????? Sababu ya kijamaa alichokutanaa nacho eneo la kazii... kama wew ni mwanamke upo sahihi sana ila kama ni mwanaume jitafakari akili za kikee hizoo kama unafikiri unaweza amka tu siku ukatelekeza familia ya watoto wanne kisa furaha yako na kimwanaume flani una Mtatizo ya Akilii...
Kweli km furaha yako ni kuoa wake wengi pia, oaHawa ndio kila siku wanalilia tuwe na mke mmoja.!!
Hell, NOOO!!
Huna unalolijua poleWatoto wanne still 32 hiyo ni chai
Pole,nadhani hukuelewa ujumbe wangu.Dear nimewaza kumuambia ukweli but wasiwasi wangu Ni kwamba atanikimbia na I am not ready kabisa dear.i wish like I can read his mind vile atalipokea kabla ya kumwambia. Maana I fear loosing him dear
Huyu ni shetani anakuhubiria. Subiri siku mumeo akufumanie ndio utajua outer voice yake.Kweli dear nimewaza Ni kichaa Cha Penzi. But there is this inner voice keep saying I real don't care what tommorow may bring life is now.
Umeongea ukweli.Baada ya muda wanaanza kujuta eti bora nisingeolewa naye au kumuoa.Hizo ni nyege force au first love subiria ziishe ndo ufanye maamuzi. First love ndo chanzo ndoa nyingi kuvunjika, wengi wanavutwa na ngono kuingia kwenye ndoa.
Dini zote na mila awakuwa wajinga kuweka makatazo watu wanaotegemea kuoana wasifanye ngono kabla ya kuoana Ili kuepusha upofu wa msukumo wa ngono,hata sayansi imethibitisha hili.
Maana ukifanya ngono na mtu huwezi zijua tabia zake zinajificha utazigundua ndoani ndo hapo majuto huja, majuto ndio uleta talaka na michepuko, yote ni first love.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi vi english vyako havitakusaidia siku ukiachika kotekote! Sijui ata upoje....unatuaibisha tu wanawake wasomi tuonekane wooote mazwazwa....Mungu akupe hekima na kujutia maneno na matendo yakoNi kweli dear. I am confused . Kumpoteza Kijana is totally a loss to me.
H baba aligongewaFanya kama flora mbasha basi umemaliza kazi
Ningeshangaa sana comment kama hii ikosekane.Hii ni chai, lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa, wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa
H.Baba ni Flora Mvungi na siyo Flora Mbasha, huyu alikuwa ameolewa na Emmanuel Mbasha.H baba aligongewa
Awaeleweki wanataka niniUmeongea ukweli.Baada ya muda wanaanza kujuta eti bora nisingeolewa naye au kumuoa.
Uliolewa ukiwa umri gani?. Maana 4 kids at 32, na watoto lazima wapishane 3 years.Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu.
Wewe ni mpwayungu katika sura mpya!Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
inawezekana.Little miss. Sitasoma tena. Labda umeandika kwa kiwangocha juu sana kwa mimi kuweza kuelewa. Twende hivyo.