Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

All
Yani Mama aiche ndoa yake ya watoto wanne????? Sababu ya kijamaa alichokutanaa nacho eneo la kazii... kama wew ni mwanamke upo sahihi sana ila kama ni mwanaume jitafakari akili za kikee hizoo kama unafikiri unaweza amka tu siku ukatelekeza familia ya watoto wanne kisa furaha yako na kimwanaume flani una Mtatizo ya Akilii...
In all mapenzi hayashauriki, kila mtu aangalie benifit anayopata na furaha yake

Ova
 
Dear nimewaza kumuambia ukweli but wasiwasi wangu Ni kwamba atanikimbia na I am not ready kabisa dear.i wish like I can read his mind vile atalipokea kabla ya kumwambia. Maana I fear loosing him dear
Pole,nadhani hukuelewa ujumbe wangu.

Kuhusu suala la kutokumwambia ukweli ,akija kugundua baadaye itakucost lazima atakupiga chini tu.

Mume wako akijua ndoa haitakuwa na amani atataka kuendelea na wewe atakuona msaliti.

Ikitokea wote wakajua, itategemea ni mazingira gani wamejua kitakachotokea Mungu ndio anajua maana wanaweza kukudhuru au wakadhuriana na wote utawakosa.

Ushauri wangu achana na mambo ya ndoa mwache kijana na maisha yake,tulia na familia yako. Dhambi ni tamu kwa muda mfupi baadaye huwa chungu kama shubiri.

.
 
Kweli dear nimewaza Ni kichaa Cha Penzi. But there is this inner voice keep saying I real don't care what tommorow may bring life is now.
Huyu ni shetani anakuhubiria. Subiri siku mumeo akufumanie ndio utajua outer voice yake.

Ungekuwa huna watoto wote hao na mumeo ni kimeo ningekushauri. Lakini unaamua kuyakatili mapenzi ya mume wako kwa starehe ya muda mfupi, nakupa pole sana. Siku moja urudi hapa utuletee mrejesho.
 
Hizo ni nyege force au first love subiria ziishe ndo ufanye maamuzi. First love ndo chanzo ndoa nyingi kuvunjika, wengi wanavutwa na ngono kuingia kwenye ndoa.

Dini zote na mila awakuwa wajinga kuweka makatazo watu wanaotegemea kuoana wasifanye ngono kabla ya kuoana Ili kuepusha upofu wa msukumo wa ngono,hata sayansi imethibitisha hili.

Maana ukifanya ngono na mtu huwezi zijua tabia zake zinajificha utazigundua ndoani ndo hapo majuto huja, majuto ndio uleta talaka na michepuko, yote ni first love.
Umeongea ukweli.Baada ya muda wanaanza kujuta eti bora nisingeolewa naye au kumuoa.
 
Ni kweli dear. I am confused . Kumpoteza Kijana is totally a loss to me.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi vi english vyako havitakusaidia siku ukiachika kotekote! Sijui ata upoje....unatuaibisha tu wanawake wasomi tuonekane wooote mazwazwa....Mungu akupe hekima na kujutia maneno na matendo yako
 
Hii ni chai, lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa, wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Ningeshangaa sana comment kama hii ikosekane.
 
Huyu mwanadada alishawahi ugua kichaa sio bure

Naomba tu mwanaume ajue ushenzi umefanya akuache na Muumba huyu huyu aliempa watoto wanne kwako atampa mke mwengine mcha Mungu anaejua nini maana ya ndoa , wako watu wanatamani hata wangepata nafasi waolewe hata akae mke wa nne wewe umepewa hio nafasi ila hujui thamani yake
 
Olewa na kijana, ila ukae ukijua alie uwa kwa upanga nae atauliwa kwa upanga
 
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu.
Uliolewa ukiwa umri gani?. Maana 4 kids at 32, na watoto lazima wapishane 3 years.
P
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Wewe ni mpwayungu katika sura mpya!
 
Back
Top Bottom