Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Sijamaliza kusoma nimeishia hapo MIAKA 32 na watoto wa4 aisee wewe ni mtu au PAKA???
 
Nimeogopa sana[emoji24]
 
Kaitoa mahali ila watu wa hivi wapo na sio wanawake tua hata wanaume pia wapo.

Na kuhusu utundu sio kiss nzuri na hizo blah blah ni kwasababu umempenda.
Na sauti huenda haikua nzuri ni vilw tu ulikua na nyege mshindo.

Hakuna mapenzi hapo, yaani dogo awe na ww ushafika jioni tayari, subiri akutengeneze kwanza then akupige tukio.

Na enyi wanaume hamtakiwi kua caring sana kwa wake zenu, huwa wanakosa akili ukiwajali sana.
 
Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Mnnnh. Toka nisome mada yako bado na process Kama ni kweli au unachangamsha tu jukwaa
 
Nakazia hiyo Aya ya mwisho
 
But God is full of Mercy dear. This one I believe dear. I made a mistake and I didn't see it come. And here I am now deep in love.
Kuna mwenzio jirani yangu aliacha mume na watoto saba akaenda ishi na jamaa mwenye kazi nzuri na maisha mazuri Sana kwa alivyoona yeye, wakabahatika mtoto mmoja kumbe jamaa anangoma, mtoto kanusurika yeye kaukwaa jamaa kafa karithisha kila kitu mtoto, mtoto kakua kajua habari yote maana anaelewana na ndugu zake kamchukia mama kwa alichowafanyia ndugu zake, mume alihangaika na wanae wamekua wanamaisha ya kawaida na baba kafariki mida tu,, ati karudi kwake, hakuna hata mtoto anayemjali na ana 70yrs na kitu, hakuna anayemjali hakuna mtoto mmoja tu ndio Labda anamwangalia angalia, huyu mdogo kamwambia kabisa huna kitu hapa wanao wasije dai lolote, huruma na mtaa mzima wanajua hilo. Unapokwenda sipo baki njia kuu.
 
Asante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Mess ya nyokoo.. kwani Hadi unazakishwa watoto wanne uliwahi kumjua??? Si umemuoja juzii mwanzoni ulikuwa unaishia vipi??? Usiwe kengee
 
Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Kwa akili zako Mumeo atakuruhusu uwachukue watoto??? Huyo jamaa ni fala akubali kulea watoto wanne... una matatizo ya akili dada nenda milembe
 
Ww mama kumbuka huyo dogo umemwambia una mtoto mmoja sawa utamkubalia mtaona IPO siku watoto wengine ulowaficha atajua tu kwahiyo hapo ni sawa kujificha kichakan dhidi ya maadyi wakat una kikohozi he siku akijua una watoto pia Kuna kupoteza wote
 
Kuna tatizo kubwa katika kufikiri na kudadisi yaani mtu analeta story ya uongo halafu watu wanatiririka nayo.Ndiyo maana serikali haipati tabu kutupelekesha na vitu vya kipumbavu.
Hii hata Kama ni story ya uongo lakini hii tabia ipo kwa wengi na wengine tupo nao humu so meseji imewafikia acha watu tutiririke,
 
Kwanza wewe ni ke fake , categorically here u have been used here as an agent to fix someone's mind , uko pretty sure Kwa story hii uchawa wako utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…