Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawatoto wanne na bado unataka kukimbia ndoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa viumbe akili zao sawaa wotee haijalishi umri wao ndo maana lazima MWANUME AWE KICHWA CHA FAMILIA MKEO UMUONGOZE WEW... yani ana akili ya binti wa miaka 16 kabisa
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Sikiliza moyo wako. Omba talaka uolewe na kijana. Mumeo wa zamani atakua na amani nawe utaishi maisha matamu ya raha na mumeo mpya
 
Sikiliza moyo wako. Omba talaka uolewe na kijana. Mumeo wa zamani atakua na amani nawe utaishi maisha matamu ya raha na mumeo mpya
😀 😀 😀Kesho watoto wakikua waambiwe mama yao alienda kuoelewa...
 
Harakati za penzi jipya huwa zinafanya watu waache kutumia akili. Use your brain we mwanamke moyo usukume damu tu.
 
Kibinadamu hali hiyo hutokea kwa muda kisha hupita, kipindi cha hisia kali huendana na mawazo ya uongo sana ambayo yapo kinyume kabisa na ukweli wa kimaisha, baada ya muda c mrf hisia hizo hupita na ukweli wote hutokea mbele ya mtu, hapo kama ulijichanganya ukafanya maamzi ya aina yoyote kipindi hicho, basi majuto na machozi huwa sehemu kubwa ya maisha yako. Washauri wanashauri usifanye maamzi ya aina yoyote wakati umependa sana au umechukia sana, jipe muda, subiri akili yako ifanye kazi ikishirikiana na undani wako. Ukweli kuhusu mada ya mtoa mada ambao kwa sasa hawezi kuuona wala kuuelewa na hata asitake kuusikia kwa vile milango yake ya fahamu ya nje na ndani yote imefungwa na "hisia" ni huu:- anamkosea Mungu wake, anamkosea mume wake, anawakosea watoto wake, anaikosea jamii yake, anaikosea na nafsi yake mwenyewe na madhara ya kosa analolifanya ni kuharibu kote huko anapokosana nako iwe anajua au hajui... ukwel huu ataujua muda c mrefu kwani lazima aujue tu, muhimu asifanye maamzi ya aina yoyote kwa sasa ili ukwel wote ukisimama mbele yake, awe na mlango wa kurudia, maamzi ya aina yoyote wakati huu yatafunga mlango huo na hivyo kuwa taabu kuufungua kwani ni lazima atauhitaji...nasema kwa uhakika sana mambo haya kwa sababu naelewa kila kitu alichosimulia humu, yeye anamdanganya kijana na kijana anamdanganya yeye, hii ndio tabia ya uongo, kutokea kwa wakati mmoja, kudumu kwa kipindi kifupi na kupotea kuacha ukwel ukuvue nguo mbele ya ulimwengu mzima.
 
Na hivi vijana tunakuwaga na madushe ya motoooo na imara ndo hutasikia wala kuambiwa kitu.
 
Kelsea uje huku love.Kwani nawe nikikuoa utanifanyia hivi?
 
Umeenjoy zako uzi, unatiririka chini unasoma comments za unakuta mtuu kaandika “hii ni chai”, stimu yote inakata. Jamani someni uzi kama una ushauri toa, ukiona ni chai piga kimya maana sasa watu watashindwa kuomba ushauri humu, alafu thread kama hizi zinasaidia kusukuma siku.
Mzee baba umejua kunichekesha aisee
 
Kama ni kweli bhasi Watoto wako nawaonea huruma kwa Idadi hiyo waliopo alafu Mungu kawapa mama tairaaa...!! Yani mama wa watoto wa nne unajali hisia zako na ufala wa romance sijui unataka kuwatelekeza wanao.????

Ndo maana vijana suala la kuoa hatutaki kulisikia kama mama watoto wanne anakuwa mjinga kiasi hiki si hatari sana. Ushauri Vunja ndoa yako potea badilisha namba za simu kaolewe upya.
Unamshangaa kwa utaahira wake kisha na wewe unampa ushauri wa kitaahira! Tofauti yenu nini sasa??
 
Hii ni chai, lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa, wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa

Chai how??? While mtu anaandika kuomba ushauri??? I just wondered [emoji23]
 
Mapenz yanaishaga shost,Kuna siku mtachokana utaregret kupoteza kete zote.Kama mume anajali bas mlindie heshima yake....mwambie ukweli then hiyo itakusaidia wewe akili kukukaa sawa Kwa sababu lazima ataonyesha rangi zake zote then nawe utatambua kuwa ulichokiacha home ni Gold.

Kinachomfanya akuonyeshe mapenz yote ni Kwa sababu anajua wewe ni wake pekeyake.Jikaze aisee,vuka hapo cute ...I beg u.Wenzio hatujawahi bahatika wanaume wanaojali familia ndo maana tukakimbia.

Hicho chuma ni Cha kukibembeleza na kukihandle vyema ....mpendane mpaka mfanane mfe pamoja jamani.

Busara za wanaume wanaojali familia ni kuwa nao ucheat ila uheshimu familia zao Ivo usijedhani yeye hacheat...no ..anacheat na wanawake bora kuliko wewe lakini bado anakuheshimu.Rudi kwenye mstari tafadhali mlindie heshima usimuumize.Mapenz huchuja utajalia mom🙏
That's my babe talking....💪💪💪
 
Leo
But I didn't see it coming dear. Na sikuwahi cheat tangu nimeolewa I swear infact Nilikuwa nashangaa Sana kuona mwanamke ameolewa na anacheat namuona Hana akili kabisa, but now here I am dear[emoji26]. Drunk in Love and even ready to loose my Holly marriage. As long as Kijana will be close to me.
Leo nawe HUNA AKIlI KABISA!!!
 
Unataka ushauri gani hapo?
Mkiuawa hooo wanaume makatili and now unachezea sharubu za Simba. Wait and see
 
Pole sana mama wa watoto wanne...nakupa pole ila ndo ya dunia
 
Back
Top Bottom