Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Nakupa pole pole, pole, pole, pole, pole, pole na wengine pia watakuja kukuongezea pole
ila pole tu
Namimi niongezee tu kwakwel pole zake zimuendee nyingi watu hatujui maana ya mume nini asee kwamba fangu amekuwa na amebalehe namahusiano yote aliyowahi kuingia ama kutembea kwakehakuwahi kuona mwanaume mzuri saa zingne inatakiwa tukuwe kimwili kiakili na kihisia (many many sory goes to her
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Lazima ujue wazi kuwa mapenzi yanatokana na fikraaa tuu so stop thinking about him angalia sana familia yako na mumeo ndiyo wako wa maisha keep it up huyo kijana asikuharibie future of your family
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Wanawake ni viumbe anonymously, hawaeleweki wanachotaka exactly? Hakuna Bigwa wa research ambaye aliweza kung'amua hili.... whats so important; TUISHI NAO KWA AKILI
 
Hivi gunia la mkaa ni shilingi ngapi saizi wakuu anyway full magazine Ina 30 bullets so my condolences in advance kwako mkuu
 
Mwambie ukweli wote huyo kijana, the truth will set you free.
The time atamwambia he will loose interrest na atafanya chunguzi na kujua kuwa ameolewa na atamumwaga tu, sisi wanaume ni wavumilivu wa uongo mmoja tu
 
Namimi niongezee tu kwakwel pole zake zimuendee nyingi watu hatujui maana ya mume nini asee kwamba fangu amekuwa na amebalehe namahusiano yote aliyowahi kuingia ama kutembea kwakehakuwahi kuona mwanaume mzuri saa zingne inatakiwa tukuwe kimwili kiakili na kihisia (many many sory goes to her
KwakweLi anaenda kuangamiza familia yake uyu dada
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Hivi unaikumbuka post yako ya tarehe 19/10/2015????

Kipindi hicho uliwananga vibaya mno wanawake wenzio wenye tabia kama yako hii mpya.... Si bure umelogwa
Nikisoma maneno yako haya kwenye post ile napata kichefuchefu,

"Sasa wanawake na sisi tulivyogo na akili sijui za wapi ama sijui ni kulogwa,tukiambiwa hivi tunalendemkaaa kama mlenda,kichwa hichoooo kinatuvimba na kuanza kujisifu et hahaaa kumbe bi shost hana lolote? (kumbe ukweli mke wake humfikii hata nusu lijamaa linataka tu likuchafue asepe zake),basi ndo siku hiyo hata kulala usingizi unakata kisa tu kusifiwa na Lijamaa ambalo ni anataka tu ale then basi.

Basi akikuambia tukutane mwanamke huyooo unaenda.Hivi jamani kuambiwa tu hivi ndo tujitoe ufahamu hadi kushindwa kujiuliza tu maswali mawili matatu kwamba hivi mke wake angekuwa hamridhishi angemuoa? Na kama anasema hajawahi pata mtamu kama mimi kama ningekuwa mtamu angekubali tuachane? si angenioa"

Acha kutema big G kwa vijikaranga vya kuonjeshwa ww!!!!
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Mchaichai
 
Satan is always sweet when it comes to lay traps on a fool. But after a while you come grasp his true colors.

SO BABY, MOVE ON WITH THE PROJECT WE'LL MEET DOWN THE RIVER 😀😀😀
 
Kweli dear nimewaza Ni kichaa Cha Penzi. But there is this inner voice keep saying I real don't care what tommorow may bring life is now.
Wwe ndiyo unawajuwa vizuri Mume wako na Mchepuko wako,kwa hiyo wwe ndiyo fanya maamuzi yanayokupendeza,sisi utatuchumia zambi za bure tu kwa kutoa ushauri kwa kusikiliza pande moja tu ya kwako!
 
Huyo kaka siku akijua ni mke wa mtu na watoto 4 juu lazima upigwe chini, mumeo pia akijua unacheat litakukuta jambo mama alafu utakua mgeni wa nani? Kaa jitafakari.
 
Mtoa mada ni kulikuita stupid woman sitakosea! Nina uhakika siku huyo kijana atakapojua ukweli wako hutabaki salama! Na pia mume wako akijua unamcheat hutabaki salama!
njia ya muongo ni fupi yaani muda si mrefu kila kitu kitakuwa hadharani ! Nakuona ukiwa single mother mpya!! Kweli mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!! Hakuna mwanaume anaeweza kuoa mke mwenye watoto 4!!
 
Ama kweli hii ni JF[emoji23][emoji23], ww jamaa si kuna uzi wako unasema kuna demu anakupenda ila ww humpendi na yuko tayari kukuhudumia kwa kila kitu maana hauna mishe ya maana mjini
[emoji23][emoji23] JF ukiijua vzur hutapata tabu kabisa.
 
Yaani voice note tu ilibadili kila kitu. 😂 wanawake nyie.

Halafu unaenjoy sex ni kwa kuwa umempenda kwa dhati.
 
Back
Top Bottom