Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

KATAA NDOA KWA MSITAKABALI WA AFYA YAKO YA AKILI ,WE TAFUTA WA KUZALISHA AFU KULA SEPA,KUNA JAMAA HAPA KAWA KAMA MWEHU SABABU YA STRESS NA PRESHA JUU,AMETARAKIANA NA MKE WAKE SASA WAMEGAWANA VYUMBA ,MWANAMKE NI FULU KUGONGWA NA VITOTO VIDOGO KWENYE NYUMBA ALOIJENGA MWENYEWE SAA JAMAA YA MEMSHINDA AMEKUWA MWEHU
Duuh embu elezea kidogo zaidi mkuu 🤔
 
Hakuna mwenye ujanja kumzidi huyu.
wapo wengi kulingana na ulivyosema kama kwa mara yakwanza tu unatoka kwa mmeo unaenda mbali kufanya kazi na hapo hapo unampenda mtu ambae hata hujawah muona huon kuwa pengne pia utaendelea tu kuliwa
 
No way wewe ni malay* Sema tu umechelew kuuanza uo umalay* umeuanza ukiwa tayar umeshaolewa
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Nakujua sana
 
Haramu zote ni tamu kuliko halali, Kilichokupeleka kwa huyo mwamba ni hisia za tamaa ya penzi la wizi kama unataka kuamini siku ukimhalalisha ukienda mkoa mwingine mwana akabaki mbali pia kuna uwezekano wa kuja hapa jukwaani ukiomba ushauriwe tena maana utakutana na wakunaji wengine wezi na utamsaliti mwana na kuwapa fursa masela wengine na utainjoi sana tu.
 
Sijafanikiwaga kusoma comments zote ,but ninachojiuliza hadi leo ni hasira zilikuwa za nini my good people [emoji16][emoji16]. Mko tooo hard like too hard.
Siyo hasira,watu wanamuonea huruma Mume wako baada ya kukosea kuchagua Mke,kumbe Mke mwenyewe kimeo!!
 
Weka picha za katikati ya mapaja ili tuone kama una alama na michirizi kati kati ya mapaja na mapaja mtawalia au lah maana kwangu Mimi mwanamke kama ana alama/ukurutu kati kati ya mapaja na michirizi kwenye mapaja hata akipigwa na kijiji kizima wala hainishitui
 
Siyo hasira,watu wanamuonea huruma Mume wako baada ya kukosea kuchagua Mke,kumbe Mke mwenyewe kimeo!!
Lakini wanaume hawaonewagi huruma, Mungu hakuwaumba hivyo.
 
Haramu zote ni tamu kuliko halali, Kilichokupeleka kwa huyo mwamba ni hisia za tamaa ya penzi la wizi kama unataka kuamini siku ukimhalalisha ukienda mkoa mwingine mwana akabaki mbali pia kuna uwezekano wa kuja hapa jukwaani ukiomba ushauriwe tena maana utakutana na wakunaji wengine wezi na utamsaliti mwana na kuwapa fursa masela wengine na utainjoi sana tu.
Sio kweli
 
Lakini wanaume hawaonewagi huruma, Mungu hakuwaumba hivyo.
But umeandika mumeo ni best husband vipi huyu dogo utamuitaje, au umetumia vigezo gani mumeo kuwa "best husband " halafu unataka kumkataa?
 
wapo wengi kulingana na ulivyosema kama kwa mara yakwanza tu unatoka kwa mmeo unaenda mbali kufanya kazi na hapo hapo unampenda mtu ambae hata hujawah muona huon kuwa pengne pia utaendelea tu kuliwa
Usikariri
 
Sio kweli
Kama huniamini kama ilivyo kwa wanawake warembo huzaliwa kila kukicha vivyo hivyo kwa sisi wakunaji tunazaliwa wazuri zaidi. Keep my post, mpe nafasi utakuja kuniambia, if sio black utapigwa na mzungu na utakuja kusema nilitamani kuonja ladha ya mzungu au mwarabu.
 
KATAA NDOA KWA MSITAKABALI WA AFYA YAKO YA AKILI ,WE TAFUTA WA KUZALISHA AFU KULA SEPA,KUNA JAMAA HAPA KAWA KAMA MWEHU SABABU YA STRESS NA PRESHA JUU,AMETARAKIANA NA MKE WAKE SASA WAMEGAWANA VYUMBA ,MWANAMKE NI FULU KUGONGWA NA VITOTO VIDOGO KWENYE NYUMBA ALOIJENGA MWENYEWE SAA JAMAA YA MEMSHINDA AMEKUWA MWEHU
Usikariri maisha bhana.
 
Kama wote[emoji12]
Hahahaha, nyie wanawake hamna dogo kabisa! Kuna dada mmoja nilifahamiana nae mwaka jana October taasisi moja kubwa tu ya serikali alikuja kama mwajiriwa mpya, tukaanza mahusiano na hivi navyoongea yamenoga kweli kweli ukimkuna kisawasawa utasikia najuta kuchelewa kukufahamu "black walker". Na huwa anaapa kutoniacha kabisa. Kuna mwamba wa huko mkoani kazaa nae mtoto mmoja na ndo wana malengo ya kuoana nae, kila siku nakula mbuny* mwenzake akipiga simu utasikia samahani baby ukae kimya niongee na jamaa.
 
Back
Top Bottom