mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,877
Jamani, yani unasumbua kichwa kwa mwanamke ambae ana wanaume wa tatu????????? mume, boss na wewe 😱😱😱😱 mweeeee. Nimeishiwa poziYes ana mke na watoto watatu, hata dada nae ana mume!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, yani unasumbua kichwa kwa mwanamke ambae ana wanaume wa tatu????????? mume, boss na wewe 😱😱😱😱 mweeeee. Nimeishiwa poziYes ana mke na watoto watatu, hata dada nae ana mume!
Imenibidi nifute comment yangu baada ya kuona huu ushubwada.Yes ana mke na watoto watatu, hata dada nae ana mume!
😡Yes ana mke na watoto watatu, hata dada nae ana mume!
Huyu dogo bado mtoto...Jamani, yani unasumbua kichwa kwa mwanamke ambae ana wanaume wa tatu????????? mume, boss na wewe 😱😱😱😱 mweeeee. Nimeishiwa pozi
🤣🤣 kwa kweli dogo ameniacha hoiImenibidi nifute comment yangu baada ya kuona huu ushubwada.
We ni boya ujue,utakosa kazi na huyo demu siku yaja shauri yakoWazee mkumbuke mimi nimekuta mdada ana mahusiano tayari, Boss alianza mimi nakaja nyuma!!!! Na nilikuwa nimeambiwa b4 sasa nataka abaki mmoja ama mimi au Boss ndo maana nimetoa muda achague kwakuwa nilikuwa najuwa picha lote! ningekuwa nimeanza mimi wala kulikuwa hakuna mjadala!!
Yaani huyu ndio anataka kumharibia mama wa watu kwenye mpango mkakati wake.... kaonjeshwa kidogo tu kachanganyikiwa... wakati mama kesha wapa wengi tu hapo ofisini na wametulia wanakula taratibu....eti anataka abaki yeye tu. Ngoja afumaniwe na mume sasa...Jamani, yani unasumbua kichwa kwa mwanamke ambae ana wanaume wa tatu????????? mume, boss na wewe 😱😱😱😱 mweeeee. Nimeishiwa pozi
Kazi hawezi nifukuza kwa maana hii ni taasisi ya serikali na yeye ni mwajiriwa kama mimi! nguvu za kunifukuza hanaWe ni boya ujue,utakosa kazi na huyo demu siku yaja shauri yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifurahisha sana, jamaa anacheza na mali ya wenyewe. Ni Kama kukata tawi ulilolikalia.Imenibidi nifute comment yangu baada ya kuona huu ushubwada.
Hujambo bibieMmekutana Wote sitaki nataka!!!!!!
Anaweza kukuundia zengwe ukahamishiwa wilaya moja hivi kataviKazi hawezi nifukuza kwa maana hii ni taasisi ya serikali na yeye ni mwajiriwa kama mimi! nguvu za kunifukuza hana
hana ubavu huoAnaweza kukuundia zengwe ukahamishiwa wilaya moja hivi katavi
Wandugu kama kawaida si rahisi kuishi bila kuwa katika mapenzi, nimekuwa katika mikiki ya mapenzi kwa muda sasa. Story iko hivi nilikuwa na urafiki wa kawaida na dada mmoja hapa ofisini, uhusiano ambao sikutegemea kama ipo siku utabadilika kuwa penzi. Katika kuishi na huyu dada nikajikuta nimepatwa na feelings nying na kubwa, kiasi kwamba nikaomba tuwe wapenzi. Kiukweli alikuwa mgumu wa kulikubali hilo ombi na ikachukuwa kama miezi mitatu ndipo alipokubali.
Siku tuliyokutana kabla ya tendo binti aliniambia jambo lilokuwa kikwazo kwangu na niliishiwa nguvu kabisa, aliniambia kwa wakati ule tayari alikuwa na mahusiano na Mr. X ambaye ni Boss wetu mimi na yeye. Mmmmmh mapenzi si mchezo nikala mzigo kama kawaida na tukaendelea kuibana hivyo hivyo, baadaye mimi niliona si vema kuendelea na demu mwenye mabwana wawili yaani mimi na Mr.X, nikaweka condition ya yeye kuchagua moja ama mimi au Mr.X, jambo hilo likawa gumu sana kwake kwa kuwa hajuwi chakufanya . Kwa ujasiri kabisa nikaamua kuachana nae kwa sababu hawezi kusema OVER KWANGU au kwa mwenzangu na jambo baya zaidi ni kwamba mwenzangu hajuwi kama nami nimo kwenye hiyo game.
Ofcourse tulikaa miezi kama miwili bila mawasiliano na demu lakini baadae tukaja rudiana tena na kusema kwamba tu focus on our relation na huyo mwingine iwe ni suala la muda kwani mpaka yeye anakuja kwangu ni wazi ana mapenzi nami. Last week mimi nikalianzisha tena kwamba siwezi kula mzigo na mtu mwingine kwahiyo suala hili lazime lifike mwisho., ingawa sijamwmambia naona nitoe kipindi cha angalau miezi minne yeye atafakari na mwisho nijuwe moja kama tulimaliza au yeye anaendelea na mahusiano na Mr.X.
Naomba ushauri je kuna njia nyingine naweza tumia kumaliza hili jamabo bila kuumizana kati ya yeye na mimi!!!!!!
Thanks nimekubali na ni ukweli , naamua kabisa toka moyoni hapa tulipofikia panatosha!!!!!01: Hakuna break up ya wanaopendana isiyokuwa na maumivu, haipo. Jiandae kuachana naye kwa maumivu makali.
02: Unawezaje ku-date na mwanamke ambaye amekuonesha wazi ana uwezo wa kutoka na wanaume zaidi ya mmoja na asijali?
03: Unahatarisha afya yako, kazi yako na maisha yako kwa ajili ya malaya, upo serious kweli?
Ninakushauri uachane naye na uendelee na maisha yako. Wanawake wapo wengi endelea kutafuta taratibu, utapata anayekufaa.
Kila la kheri mkuu.
Nasema we bado hujui maisha ya mapenzi na kazi yaluvyo na risk endelea nae ila usiache kutuletea kitakachokukutahana ubavu huo