Penzi linanisumbua akili yangu

Jamani si mchezo nimepatwa hasa, maana bi dada akiwa online na Boss naye utamuona online, wakichomoka wanachomka wote basi nabaki roho juuu si utani nilipenda sana ila ni wazi sasa ngoja niachane na huyu dada ili mambo mengine yasonge!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
We ni boya ujue,utakosa kazi na huyo demu siku yaja shauri yako
 
Jamani, yani unasumbua kichwa kwa mwanamke ambae ana wanaume wa tatu????????? mume, boss na wewe 😱😱😱😱 mweeeee. Nimeishiwa pozi
Yaani huyu ndio anataka kumharibia mama wa watu kwenye mpango mkakati wake.... kaonjeshwa kidogo tu kachanganyikiwa... wakati mama kesha wapa wengi tu hapo ofisini na wametulia wanakula taratibu....eti anataka abaki yeye tu. Ngoja afumaniwe na mume sasa...
 
We ni boya ujue,utakosa kazi na huyo demu siku yaja shauri yako
Kazi hawezi nifukuza kwa maana hii ni taasisi ya serikali na yeye ni mwajiriwa kama mimi! nguvu za kunifukuza hana
 
Kazi hawezi nifukuza kwa maana hii ni taasisi ya serikali na yeye ni mwajiriwa kama mimi! nguvu za kunifukuza hana
Anaweza kukuundia zengwe ukahamishiwa wilaya moja hivi katavi
 
Unampenda huyo na mbususu yake inakupagawisha. Chagua kusuka au kunyoa. Kuendelea kumla ili kupunguza ugwadu wako au kutupa jongoo na mti wake ukafa kiume na Tai shingoni.

 
01: Hakuna break up ya wanaopendana isiyokuwa na maumivu, haipo. Jiandae kuachana naye kwa maumivu makali.

02: Unawezaje ku-date na mwanamke ambaye amekuonesha wazi ana uwezo wa kutoka na wanaume zaidi ya mmoja na asijali?

03: Unahatarisha afya yako, kazi yako na maisha yako kwa ajili ya malaya, upo serious kweli?

Ninakushauri uachane naye na uendelee na maisha yako. Wanawake wapo wengi endelea kutafuta taratibu, utapata anayekufaa.

Kila la kheri mkuu.
 
Thanks nimekubali na ni ukweli , naamua kabisa toka moyoni hapa tulipofikia panatosha!!!!!
 
KILA SIKU TUNASHAURIWA TUSIPENDE KUANZISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI KAZINI LAKINI NAONA KUNA WATU BADO HAWAELEWI.
UNAPOANZISHA MAHUSIANO KAZINI LAZIMA KUNA WAKATI YATAKUSUMBUA TU, KWASABABU KUNA WATU WATAFANYA UTANI NA MPENZI WAKO NA WEWE ROHO ITAKUUMA, KUNA KAMA HIVYO BOSS ATAMTAKA NA HATAWEZA KUCHOMOA, YANI MATATIZO YAPO MENGI ILA KWA SUALA LAKO WEWE UNAJITAKIA TU MATATIZO MWENYEWE KWASABABU UNAMPENDA MKE WA MTU HALAFU UNAMUONEA WIVU MCHEPUKO MWENZIO AMBAE HATA WAKIACHANA NAE BADOHUNA UWEZO WA KUMUOA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…